Chanzo cha Wazazi waliofiwa na watoto wao ajalini Arusha kujitoa kwenye Kamati ya Gambo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Wazazi waliokuwepo kwenye kamati ya rambirambi ya msiba huo iliyoundwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha wamejitoa rasmi katika kamati hiyo.

Kwa mujibu wa mzazi huyo ambaye hakutaka jina lake linukuliwe ameeleza Sababu kubwa ya wao kujitoa kwamba ni kitendo cha kutumika nguvu ya dola hasa wakati ambapo kulikuwa na ibada ya kupewa pole na rambirambi , ibada ambayo haikufanyika kutokana na kuvamiwa na Jeshi la Polisi na kukamatwa Meya wa jiji la Arusha mh. Kalisti Lazaro ,Katibu wa TAMONGSCO kanda ya Kaskazini Mh. Leonard Mao , Waandishi wa Habari 10 , pamoja na wamiliki wa shule binafsi waliokuwepo katika hafla hiyo.
KATIKA VIDEO HAPA CHINI MZAZI HUYU ANAELEZA SABABU YA WAO KUJITOA KWENYE KAMATI YA RC GAMBO

InShot_20170521_123455.jpg
 
Gambo hawezi kusoma alama za nyakati kwa sababu ana tabia za kibashite
 
Tatzo lenu CHADEMA nyie ni wapuuzi sana KULIGEUZA hili suala la MISIBA ya kitaifa ni suala la nyie KUJINUFAISHA KISIASA.....niwaambie ukweli kamwe hili halitawajenga........ni uzuzu tu
Na kama kweli mpo pamoja na hawa WAZAZI na mnasema ukweli juu ya GAMBO,,bhasi onyesheni kuguswa kwenye hili kwa kuwafidia hicho kiasi ambacho mnasema GAMBO au serikali imekitumia si kutuletea stori za kibangi bangi hapa na HAMNA hatua yoyote mnayoichukua....Nyie kila siku kudandia mambo tu.........
Hamshindwi kuwahonga wafiwa na kuwawekea maneno yenu mdomoni mwao na wao kesho kusikia wanaitisha PRESS na wao kuanza kubwabwaja hayo maneno yenu mliowakea mdomoni.....MLAANIWE KABSA KWA KUWANGAISHA hawa wafiwa.......AS IF HIZO RAMBI RAMBI WANGEZIPATA NDIO WATOTO WAO WANGERUDI.......
SITAKI KUAMINI GAMBO mwenye kuamini uwepo MWENYEZI MUNGU anaweza thubutu kutumia pesa za WAFIWA kwa matumizi binafsi kama ambavyo msemavyo....
TUWEKEENI UO USHAIDI HAPA WA MATUMIZI BINAFSI TUMHUKUMU na si kutuletea HISIA zenu za kibangi bangi humu........
 
Inashangaza kuwa anaulizwa kutaja jina lake lakini anashindwa kutaja! Nini kilichoko nyuma ya kigugumizi cha kushindwa kutaja jina lake kama anayoyaongea yanatoka ndani ya moyo/fikra zake?

The Old Man is under duress!

Hizi siasa hizi!

Waacheni hawa wazee wapumzike!
 
Tatzo lenu CHADEMA nyie ni wapuuzi sana KULIGEUZA hili suala la MISIBA ya kitaifa ni suala la nyie KUJINUFAISHA KISIASA.....niwaambie ukweli kamwe hili halitawajenga........ni uzuzu tu
Na kama kweli mpo pamoja na hawa WAZAZI na mnasema ukweli juu ya GAMBO,,bhasi onyesheni kuguswa kwenye hili kwa kuwafidia hicho kiasi ambacho mnasema GAMBO au serikali imekitumia si kutuletea stori za kibangi bangi hapa na HAMNA hatua yoyote mnayoichukua
Hivi wewe hata kama ni ubashite lkn hata kutumia akili ya kuzaliwa nayo umashindwa?mnaiba rambirambi za wafiwa alafu unaleta matàpishi yako hapa?
 
Tatzo lenu CHADEMA nyie ni wapuuzi sana KULIGEUZA hili suala la MISIBA ya kitaifa ni suala la nyie KUJINUFAISHA KISIASA.....niwaambie ukweli kamwe hili halitawajenga........ni uzuzu tu
Na kama kweli mpo pamoja na hawa WAZAZI na mnasema ukweli juu ya GAMBO,,bhasi onyesheni kuguswa kwenye hili kwa kuwafidia hicho kiasi ambacho mnasema GAMBO au serikali imekitumia si kutuletea stori za kibangi bangi hapa na HAMNA hatua yoyote mnayoichukua
Povu looote la nini mkuu, swala kama hakutaka haya yote yaonekane katika sura ya kisiasa ilikuwa ni jukumu la Gambo kutoa takwimu sahihi za mapato na matumizi ya fedha za rambirambi. Gambo anatakiwa kufahamu kanuni moja inasema. UKITAKA KUMSHINDA ADUI USIMPE NAFASI. Sasa yeye kapiga hela afu kawakimbia adui unategemea nn hapo
 
Kinachosikitisha sana ni pale Mamlaka ya Uteuzi wa viongozi hawa ipo kimya tu as if huyu Gambo anayoyafanya ni maelekezo kutoka kwake..
Inasikitisha sana.
Kinachosikitisha ni nyinyi watu wa Arusha kuingiza Siasa kwenye majanga ya Kitaifa. Mh. Rais yuko kimya kwa sababu RC wa Arusha ndio size yenu.
 
Inashangaza kuwa anaulizwa kutaja jina lake lakini anashindwa kutaja!

The Old Man is under duress!

Hizi siasa hizi!
Hilo la jina ni sawa. La muhimu ni kujua :Je, ni mzazi wa mmoja wa wahanga? Halafu, alikuwa kwenye kamati tajwa na kujitoa? Hizo yak... yak... yak.. nyingine ndiyo zijadiliwe.
 
Back
Top Bottom