Recent content by Pampula jr

  1. Pampula jr

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Ld_FCC). [emoji753][emoji354][emoji354]
  2. Pampula jr

    Mr Nice kawa dereva wa bodaboda?

    Sio kweli huo ni uzushi nice haishi Kahama anaishi dar acha uzushi
  3. Pampula jr

    Natafuta sugar mummy mwenye miaka 35-50

    J. j nj MBNA uni us xiii is njnuujj junk
  4. Pampula jr

    Tetesi: Diamond avunja ndoa ya Shetta na mkewe

    Kwa hiyo diamond na sheta itakua kama OMMY dimpoz na diamond tena sasa na yeye sheta kwani hana kwake mpaka awe anaenda kushinda na mkewe kwa diamond wakati MKE wake amejazia kuliko zari
  5. Pampula jr

    Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani

    Msisahau baba la babaz ukapa MZEE wa wapumba na mlofa ni Bonge la jipu ukilitumba unakua shoga
  6. Pampula jr

    Sanaa ya kifo

    Kwenye biblia kuna MTU alikufa yesu akamfufua na watu wakaenda kumuuliza yule MTU akajibu yeye alikua hajui chochote ni kama alikua kwenye usingizi usio na ndoto
  7. Pampula jr

    Nimsaidieje aondokane na ''gay feelings''?

    si nasikia mashoga hawana uwezo wa kuzaa watoto sasa imekuaje huyo kua na watoto wawili
  8. Pampula jr

    Rais Magufuli amjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili

    nani kasema magufuri ni mpinzani na sumaye?ile bifu ilikua ni msoga na monduli buana
  9. Pampula jr

    East Coast Team, wapi alipotelea Snare na P. Zongo

    ni kweli oten alikua east cost labda wewe ndio umebwia viroba
  10. Pampula jr

    Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

    AKAUNTI fake hiyo sidhani kama ni kweli
  11. Pampula jr

    Nyumba ya Mchungaji Getrude Lwakatare yapigwa X

    acha masikini tuwe wakimbizi kwenye nchi yetu wewe unaeshangilia hayajakukuta watu wamejenga nyumba ujanani wamemaliza uzeeni unaambiwa bomoa na kwa kwenda huna we unadhani utafurahi
  12. Pampula jr

    tecno h6

    0769486893
  13. Pampula jr

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    ndio maana nilishangaa komba na bendi yake ya t.o.t walitoa album nzima ghafla ya maombolezo nahisi kifo kile kilikua na namna flani ya mauzauza
  14. Pampula jr

    Magufuli aondolewa kwenye group la whatsapp la marais wa Afrika Mashariki

    kubomolea watu manyumba yao kunyima Uhuru vyama pinzani kufukuza watu kazini bila mpangilio kukataza tiba mbadala sasa hapo ni kuinua wananchi au kuwarudisha kwenye umasikini mtukufu
Back
Top Bottom