Recent content by palangana

  1. palangana

    JamiiForums Tanzania Yai la nani?

    Jogoo anataga! Ila lile yai halitotoleki, watu inferior huchukua lile yai na kwenda nalo kwa mganga, wanadai lina kazi kubwa na tamu mno za kichawi.
  2. palangana

    JamiiForums Tanzania Mwambie ex wako kuna ujumbe wake hapa

    😁😁😁
  3. palangana

    JamiiForums Tanzania Prison life(Maisha ya gerezani)

    Hawa "machizi" huwa hawana hoja, kila kitu cha msingi wanahisi kulengwa wao. Achana nao mara nyingine si muhimu kuwajibu Clemence Mwandambo
  4. palangana

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Waziri Mkuu mstaafu,Mhe. Sumaye kuhusu "UKUTA" kwa Mhe.Lema kwa hakika yanaenda kutimia

    Utachezea demokrasia, utaua upinzani, utatekenya vyombo vya habari, kamwe huwezi chezea UCHUMI, utakumaliza mwenyewe
  5. palangana

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

    Naona umeshakuwa mmiliki wa chombo cha habari mzee
  6. palangana

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

    Unahisi ulichokiongea ndo sababu? au unatetea mahali?
  7. palangana

    JamiiForums Tanzania Nani hasa anaimiliki na kuitawala dunia tunayoishi?

    Adolfo Nicolas
  8. palangana

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakicheza wimbo 'NYEGEZI' uliopigwa marufuku na BASATA

    Nyege... nyege... nshushe mwanza nyegezi😆😆😆! Ukifungua tibisii unakuta hii ni taarifa ya habari "ya kitaifa"! tibisii "imekufa"
  9. palangana

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa churaaaa njooni muone

    "Kimebinuka"
  10. palangana

    JamiiForums Tanzania Ushoga Chini ya Zuria....!!!!!

    Salam wanajamvi; Natumai kuna waliotazama mechi za weekend hii iliyoisha jana. Je, kuna walioelewa maana ya rangi zilizowekwa kwenye vitambaa vya nahodha(Captains), kamba za viatu na mipira iliyotumika? Nimesoma mahali kuwa ni rangi za bendera ya LGBT, ila kampeni ya weekend ilikuwa "Games for...
  11. palangana

    JamiiForums Tanzania Siku nne za uumbaji zilikuwa zinapatikanaje kabla ya kuumbwa jua?

    Uko jela au wapi?
  12. palangana

    JamiiForums Tanzania Hichi Kitoweo

    Hii sura sio ngeni, nimewahi kuiona wapi sijui😊😊😊
  13. palangana

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wa dar na wamikoan tuweke tofaut zetu pemben tukutane hapa

    Kikao hiki hakitafikia ukomo
  14. palangana

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa SUA njooni hapa muelezee hili

    Bado wanatafakari hii mimba ya utotoni😂😂😂
  15. palangana

    JamiiForums Tanzania Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    DrLove69 Unadhihirisha una fikra finyu especially kwa kuwa umeamua kuwa 'shabiki' wa ccm. Wengi walio huko fikra zao, haziko poa. Note: Me sio mfuasi wala 'shabiki' wa vyama, ila yanayoendelea nayaona!
Back
Top Bottom