Prison life(Maisha ya gerezani)

Prison life(Maisha ya gerezani)

Mh alikuambia tangu enzi za jk hujaisema hadi Leo.

Umepatwa Na nn ukakumbuka?
Unajua yapo mambo mengi tu yanaweza yakafanya mtu ukumbuke kitu. Na mengine unaweza ukakumbuka tu ghafla yakaja. Kama hili nilitulia tu mchana nyumbani likanijia then nikajisikia kuliandika.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Kama kweli ulikutana na hili jambo. Basi jua huyo hakuwa kichaa bali ulikutana na "maiti watembeao"

Huyo "kichaa" alikupa ujumbe mzito sana, waweza andika kitabu edition kadhaa!

Tembea Uone mengi kama skio kujifunza mengi.
Hili ni Jambo nililokutana nalo wala simfumbi mtu wa aina yoyote.
 
Whattt???? Inamaana inamaana wazungu walituchezea mchezo!?? Ooooooo my God!! Inawezekanaje mkuu hebu tujadili kidogo maana ni wazo jipya kichwani mwangu lakini naona ubongo wangu hautaki kuliachia kirahisi!!

Hapo ndipo penye swali, PICHA niliyoipata kichwa mwangu ni kwamba hii nchi bado, ni mali ya watu ingawa sisi tunaisha ndani ya hiyo nchi. Na kila anayeshika ikulu anakutana na mikataba ya wakubwa namna ya kuendesha hii nchi, kwa lugha nyingine anakuwa hana amri, tunapigwa kiini macho kwa kupiga kura lakini mambo yote kwa wakubwa.
 
NI kwe
Kama kweli ulikutana na hili jambo. Basi jua huyo hakuwa kichaa bali ulikutana na "maiti watembeao"

Huyo "kichaa" alikupa ujumbe mzito sana, waweza andika kitabu edition kadhaa!

Tembea Uone mengi kama skio kujifunza mengi.
Ni kweli
 
Wananchi wengi wa Mbeya huwa wanaamini Rais wao ni Joseph Mbilinyi @ sugu hivyo huyo mwehu alikuwa anamsemea sugu kwamba hana uwezo wa kupeleka maendeleo Mbeya!!!!!
 
R
Raisi wangu ni MAGUFULI ndugu usinitafutie maraisi wengine, nilichokiandika ni kikubwa, ungechukia muda kufikiri na kuondoka kwenye IMANI potofu za kivyama ingekusaidia.
Hawa "machizi" huwa hawana hoja, kila kitu cha msingi wanahisi kulengwa wao. Achana nao mara nyingine si muhimu kuwajibu Clemence Mwandambo
 
😎😎 mtafute leo, mwambie ile jela imekuwa jehanamu
 
Back
Top Bottom