Sasa shisha ndio Ina matatizo gani hivi nauliza wazungu wakivuta kiko halali waarabu mila na desturi zao huvuta tumbaku kama kiko but wanaweka Maji kuchuja moshi Sasa tatizo liko wapi, watalii wengi huvuta shisha hapa tuna waarabu wako kama vile waziri,walebanon,wasyria,wamesema,WA Oman na WA...