Recent content by Paima

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya Waziri Mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

    hapo ndiyo panaopo nikera kwa siasa Za Tanzania, kwani wananchi wote wanakuwa wamepigia upinzani? hawafikirii Kuwa wanawanyima Haki Wengi zaidi ccm waliopiga kura ambazo hazikutosha n.a. za wale ambao hawakupiga kura kwa sababu moja au nyingine?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Muhimbili watoa Rai: Watanzania tuchangie damu

    Wangeruhusu bila kuwakamata sasa hivi tungekuwa na damu ya kutosha sana Tanzania nzima
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Get well soon bro.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hili la shule ya CCM kutaifishwa ni kipimo cha akili zetu za kutafakari mambo

    Mimi nina swali. Je shule hii imeadhirika na tetemeko? Kama jibu ni ndiyo basi kwa maoni yangu wametaifisha ili serikali ikijenga watu wasilalamike mbona wanajenga miundombinu ya shule binafsi za ccm?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Huyu Mfalme ni rafiki wa Madikteta?

    Tell me your friends and I will tell you who you are.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kuhusu kauli ya Rais juu ya mitandao ya kijamii

    Pia matukio mawili ya polisi kupokea rushwa..
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha Kigamboni kimulikwe, kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Mimi huwa napita hapo jamaa anakusanya tiket kama kumi hivi halafu anascan moja tuu ya juu ni wizi mtupu, cctv iwekwe sehemu ya kuscan ticket.
  8. P

    JamiiForums Tanzania TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

    POLENI SANA
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais arudi afanye utafiti kabla ya kufanya uamzi wake kuhusu vijana

    Mimi nimefikiria mbali zaidi, Raisi ameamua kuweka vijana wapya ili isimpe tabu kuwatumbua watatakapo haribu. Wazee inaamuwia ngumu sana kuwatumbua kwani wako kwenye mfumo siku nyingi na wana network kubwa, jipu moja lina vigogo zaidi ya kumi nyuma yake.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuteua waziri wa mambo ya ndani kutoka nje ya CCM?

    Ninavyojua serikali iliyoko Madarakani ni ya Magufuli na ilani yake.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuteua waziri wa mambo ya ndani kutoka nje ya CCM?

    Mbona Shain kamteua Amad Rashidi kuwa waziri?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuteua waziri wa mambo ya ndani kutoka nje ya CCM?

    Mbona Shain kamteua Amad Rashidi kuwa waziri?
  13. P

    JamiiForums Tanzania RC Kijuu: Watumishi Hewa Anzeni Kujiondoa Kabla Sijawakamua Majipu

    Raisi alisema na wale wote ambao wanalipwa mshahara pasipo kufanyakazi.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe Bw. Ombeni Sefue alikuwa Jipu..!

    wanatakiwa watumbuliwe 2000 sijui sasa hivi kashafikisha wangapo?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Bi Odinga: Nilikosea Olduvai ipo Tanzania

    Inabidi akatuombe msamaha kupitia vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC, CNN, DW, CCTV, ALJZEERA, ....
Back
Top Bottom