fundi mwili
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 269
- 174
Serikali hiyo hiyo inaongozwa na CCM sasa hiyo shule imetafishwa na nani hapo?
Kwani umesikia Bk kuna shida ya ardhi. Kama suala ni ardhi ilikuwaje ccm wakashindwa kuiendesha. Ebu elezea ufanisi wa hiyo shule hapo Bk. Shule iko mjini hata haisikiki utafikiri ni shule ya kata wakati inamiaka nenda rudi. Shule limewashinda kuendesha mnadai eti kuitaifisha. Kama ni kutaifisha basi atifishe zote za ccm.Sasa wewe mtoa mada ile shule ina ardhi kubwa sana katikati ya mji ina majengo mazuri kama humuiya ya wazazi wangwamua kuanzisha mradi mwingine hapo unadhani wangeshindwa.kwa ufupi rais ni mzalendo over.
JMP aliposema eti ametaifisha shule ya ccm (Omwani) na kuwa ya serikali watu wakashangilia na kudai eti ni mzalendo wa kweli.
Kwa ufupi tu ni kwamba kwa wanaoifahamu shule ya omwani hawawezi kushangilia hiki kitu.
Shule hii haikuwa productive kwa ccm na ilikuwa ni mzigo kwa ccm na ilikuwa inajiendesha kwa hasara. Ni shule ambayo ilikuwa inabeba makapi ya wanafunzi na wale wazazi walikuwa hawana huwezo wa kupeleka watoto katika shule zenye sifa nzuri yankufaukisha.
Pili hili jambo lilishajadilika kwenye vikao vya ccm namna ya kutua huo mzigo. Na ndio maana unaona serikali inabeba mzigo wote hadi wa waalimu wake ili kuiokoa ccm na mzigo wa madeni. Kwa kifupi huu ni ufisadi mwingine.
Swali la kujiuliza hivi ni kweli shule hii ingekuwa inafanya vizuri katika elimu na ikawa inajiendesha kwa faida JMP angeitaifisha. Jipu ni hapana. CCM wasingekubali kuiachia. Swali lingine dogo tu, Je ccm inashule ngapi na kwanini zisitaifishwe zote!
Watanzania wenzangu tusiwe wepesi wa kushangilia kila jambo bali tujaribu kujiuliza maswali juu ya nini kiko nyuma ya uamzi uliofikiwa.
Kwa hili la shule ya umwani ni sawa na kupewa gari lililojuu ya mawe ambalo mwenye nalo limemsha mshinda. Hapa tumepigwa changa macho.
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya.
Kwahiyo watu washindie mitandaoni kuisifia tu serikali hata kama kuna maeneo serikali inakosea? Shule hii haimo kwenye orodha ya shule zinazofanya vizuri kitaaluma na sidhani kama ina walimu cwa kutosha. Nakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ina matokeo duni kabisa kwa kuongoza kitaifa kwa div 0Wewe ni mpuuzi
Sijui mnalipwa humu ndani
Kwa kuikosoa serikali mitandaoni?
Kila jambo kwenu ni baya
Acheni ushabiki wa kipumbavu huo
Tumuunge mkono mh Rais anapojaribu kuinyoshs nchi
Tusiangalie maslahi yetu binafsi
Tuangalie maslahi mapana ya nchi yetu
Mantiki ya hatua hii ni kwamba fedha za serikali na wahisani wengine zilitumika kukarabati shule hii ya taasisi ya CCM. Kuiacha endelee kuwa ya CCM tafsiri yake sahihi ingekuwa serikali na wadau wametoa mtaji wa kibiashara kwa taasisi ya CCML Pia itakumbukwa wakati ina karabatiwa kulikuwa na uzi humu JF ukihoji kwa nini fedha za umma zitumike kukarabati taasisi ya CCM. Kwa hiyo ni uamuzi wa Raisi kuitaifisha kutanufaisha wanafunzi wengi wa kidato cha 1hadi 4 kwa upande wa ada ambayo haikuwa bure Kama itakayokuwa aasaMleta mada upo sahihi kabisa.
Mpaka sasa bado hatujajua Mantiki, Sheria, Kanuni, Utaratibu, Faida au Hasara za kuitafisha shule hiyo.
Litakuwa ni jambo la ajabu sana kushangilia kitu tusichokijua.
Kwanini Shule hiyo tu?
Tutakumbuka pia baada ya tetemeko kamati ya maafa ilianza kujenga upya shule hii.Mleta mada upo sahihi kabisa.
Mpaka sasa bado hatujajua Mantiki, Sheria, Kanuni, Utaratibu, Faida au Hasara za kuitafisha shule hiyo.
Litakuwa ni jambo la ajabu sana kushangilia kitu tusichokijua.
Kwanini Shule hiyo tu?
Mimi nina swali.Hatutaki heri yako ya mwaka mpya.....najua roho zinawauma sana jinsi JPM anavyopiga kazi..na baaaado
Viva Magufuli
ni vigumu kunyosha kitu wkt we mwnyewe umepindaWewe ni mpuuzi
Sijui mnalipwa humu ndani
Kwa kuikosoa serikali mitandaoni?
Kila jambo kwenu ni baya
Acheni ushabiki wa kipumbavu huo
Tumuunge mkono mh Rais anapojaribu kuinyoshs nchi
Tusiangalie maslahi yetu binafsi
Tuangalie maslahi mapana ya nchi yetu
Kama ndivyoKwahiyo watu washindie mitandaoni kuisifia tu serikali hata kama kuna maeneo serikali inakosea? Shule hii haimo kwenye orodha ya shule zinazofanya vizuri kitaaluma na sidhani kama ina walimu cwa kutosha. Nakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ina matokeo duni kabisa kwa kuongoza kitaifa kwa div 0