Bi Odinga: Nilikosea Olduvai ipo Tanzania

Bi Odinga: Nilikosea Olduvai ipo Tanzania

Tanzania ipo Instagram na Facebook? She spoke officially and she is supposed to apologize officially. Siyo vinginevyo. Awaandikie barua waandaji wa kongamano lile na kutoa ufafanuzi kwamba aliidanganya dunia. Kwani aliongea instagram? Mbn anatujibu instagram?
Alafu hapo yenyewe hajaomba msamaha. Katukejeli. Ni wapi kwenye hyo post ake imeandikwa "I apologize for what I did?"
Pia,hakutakiwa kutuomba sisi msamaha,bali dunia nzima kwa uongo wake.
Hapo hakuna maana yeyote na serikali itakuwa pumbavu endapo itaridhia eti kwa post ya Instagram.
 
Kingereza ndio kimewafanya muwe wezi sana hafi uhuru analalamika huko israel?
Wachina wanaongea english?

Nimeona mwenzio anasema eti ujumbe umefika kimataifa wakati kommenti,kama unavoziita ni za kiswahili?Nyie ndo mnajifunza tu.Wakenya sisi hatutusi mabinti wa wenyewe.Sisi CNN,S.A kwa ujumla pia Nigeria tuliwavamia twitter sasa hivi wanajua K.O.T(Kenyans on Twitter) ni nini?CNN na waS.A hadi wakaomba msamaha.Ujumbe kupitia mtandao hadi uuone kwenye 'international media' ndo utajua umefika kimataifa.Kama mnataka kujua umoja wa wakenya KOT achaneni na binti wa wenyewe.Vamieni wakenya kwa jumla mtajua kilichomtoa kanga manyoya!Anzeni [HASHTAG]#someonetellkenya[/HASHTAG] kwa twitter ila sidhani itatrend kimataifa,siunajua watz na kiingereza ni kama maji na mafuta?Ngumu kupatana!

Yani mambo ya wakenya huwa yananifurahisha sana,hapo ndo mtaona kua nchi ya kenya haina chochote cha kujivunia wala cha kujitangaza kimataifa labda kukimbia,wanajiona wajanja kumbe dunia inawaona washamba tena malimbukeni,
Yani wanachokifanya ni km vile ule mchezo wa watoto wakiona gari wanasema gari la baba wakati baba yake hana hata baiskeli .poleni sana majirani mana mnaitamani sn bongo ila ndo mipango ya mungu jamani
 
hu ni uzembe wa viongozi wetu...wanapokea modola kibao wanashndwa kutangaza utalii wao mpka wakenya wanawasaidia kuwaibia wao wamebaki kulipiana mamilioni maposho hata uchungu hawana,pumbavu kabisa mwenzao amedanganya oficialy tna kimataifa,sisi kimya utafikiri hatuna viongz matokeo yake wazelendo wanatumkana kwnye istagram nayy anawajibu kwnye istagram kwnn asingeomba msamaha oficialy kwa barua?hu ni usanii mkubwa anaofanya huyo binti na cc viongozi wetu ni vichwa maji wanaona nikawaida tu maisha yanasonga wala hawana uchungu na nch xao
 
exactly huyu bint ni intelligent na msanii wa kimataifa,eti anaombea radhi instagram wenye shorts i.q wanaona ni safi tu!,
*kumbe jambo limeshapenya kimataifa.
Akili ni nywele.
 
...eti hapa ndio anaomba radhi!
so trickly inteligent!

Mwanawe aliyekuwa waziri
mkuu wa Kenya, Raila
Odinga, Rosemary, amekiri
kuwa alikosea alipodai
kuwa bonde la Olduvai
Gorge liko Kenya ilhali liko
Tanzania.
''Bonde la Oldupai ama
Olduvai liko Tanzania,
nimekubali kuwa nilikosea
nilipokuwa nikihutubia
mkutano wa viongozi wa
vijana kutoka kote duniani
nikiwa New York Marekani
(International Young
Leaders Assembly).
 
Back
Top Bottom