Recent content by pai-pera

  1. P

    Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

    Pole sana. Lakini ijulikane sio wanaume wote tuko hivyo. Hata kama ulikuwa kwenye list ya "wale ninaotaka kulala nao" za kutoka ends hizooooo Wengi wana shindwa kutofautisha fantasy and reality. You both moved on. Sema tena kuna tabia ya kujaribu bahati, gonga hodi uone kama utakaribishwa...
  2. P

    Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

    Duh Hapo tuseme unakutana na wale wanao tafuta tu sehemu ya kupunguza nyege zao. Kauli hizo mara nyingi labda ndiyo zina onyesha hata faa huko mbele. Na labda mkisha badilisha numba muwaulize wana nia gani kwanza kuhitaji numba yako? Katisha mlolongo mrefu
  3. P

    Hivi Dax ni nani?

    Sikuwahi kusikia ata jina lake. Nashukuru nimepata nafasi kusikiliza musiki ya maana. Anaonekana anajitahidi kuuliza maswali magumu katika vitu mbalimbali. Worth watching
  4. P

    Natafuta nyumba ndogo

    Duh... Yaani kweli ndoa ngumu popote Fanya mazoezi na mke wako aisee muanze kutafuta sababu mlipendana tena
  5. P

    Mkasa mfupi, mzito wa mapenzi

    Duh. Generational curses zina endeleza hivi. Sisi wanaume tuna feli wapi na hizi hamu zetu jamani? Hakuna anae fikiria "rape charges" ata maana hatuwezi sema ilikuwa consensual toka mwanzo. Binti, bado una maisha marefu mbele yako. Bila cheti cha shule itakuwa ngumi kuji inua haswa kutokana una...
  6. P

    CRDB tangu asubuhi hakuna huduma

    Yaaani Ndiyo naahituka mchana kuhusu hili tatizo. Umuhimu wa kuwa na akaunti 2 sehemu tofauti. Gharama ya kuzimiliki bado zina ku save kipindi kama hiki. Duh
  7. P

    Wanaume tuliooa tujipeni pole wenyewe

    Aisee nimecheka. Lakini pia hizi ndio situations zinazo leta stress zaidi kwenye ndoa nahisi Hapo wewe mwenyewe umesha mdanganya mke wako mara ngapi tu kumpigia simu na mengineyo huyo mwanamke?
  8. P

    Tukio la ajali ya lori la mafuta lililosababisha vifo: Je ujumbe umefika kwamba wanaolalamika ugumu wa maisha sio wapiga dili kama ilivyozoeleka?

    Inasikitisha kwamba hizo tukio hazita isha hivi karibuni. Binadamu jinsi tulivyo, kumbukumbu zetu ni fupi na haswa watu waliyo na uwezo mdogo. Nafasi ilionekana na wata itumia tu bila kujali hatari zozote zitakapo kuwepo. Kweli Mungu atuepushe tu.
  9. P

    This is creativity!

    Hahahah... Found myself in that situation as "life" is just starting and an expensive sofa is not in the list of important things... Now it looks like a babe trap is all! Some truth there
  10. P

    Mkasa wa kweli: ungefanyeje?

    Duh. Kumbe kuna stori kama hii pia. Kwa kweli utani wa siku hizi una tisha yaani. Dhamani ya vitu vingi vina potea kwa kutaniana hivi hivi hadi ukiwa una sema ukweli hakuna wa kukusikia. Anyway, kama huyu wa sasa ndio mnapendana hivyo, basi forgive and try and forget. I always say we are a...
  11. P

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Duh. Dada, kweli lazima akonde kwa style hii. Nafsi haitakaa vizuri kabisa. Kuwaza ni adhabu kubwa kweli. Sijui nikipongeze ama vipi... Sahihi ku sali ata kama huta pata jibu pale pale. Binti, ndoa yako imepata changamoto kubwa mno haswa kutoka kwa mtu wa karibu hivyo. Kama kweli unampenda...
  12. P

    Eti hawa ni wapiga kura 2020, nimesikitika sana!

    Oh my goodness. Jamani jamani tunashida yaani. Na changamoto kubwa ni kwamba hawa ulizwi wana malengo gani na watoto hawo. Maendeleo gani haya jamani. Ndugu zake wa mjini wata koma kweli
  13. P

    Tunapenda kukujulisha v/s Tanasikitika kukujulisha

    Labda mchapishi anahangaika na lugha yetu kama mimi. Upo sahihi lakini na aliye cross check tangazo hilo haku ona.
  14. P

    Baada ya kuamua kuachana na mke wa mtu ameamua kunipa mdogo wake niendelee kufaidi maisha, upendo wa namna gani

    Kwa style hiyo, ukizaa mtoto wa kike badae utahaha kweli. Ukisha zama ni ngumu kujua ukweli ni upi. Labda ndio maana una ongelea upendo hivyo.
  15. P

    Pale mtoko wa usiku unapoishia kwenye ugomvi na kuahirishwa

    Hahaha.. Umeniacha hoi aisee. Ukweli ni kwamba wanaume wengi walio kwenye relationship wanahitaji kufanya diet pamoja na mtu wao wa karibu. All the best mate. Hiyo vita haishi kesho
Back
Top Bottom