Unasema una miaka 23 na OP MAGUFULI. wakati Op Magufuli JKT waliingia 2016 mwishoni, tuseme basi 2017. Mpaka sasa ni miaka 8 imepita. Maana yake uliingia JKT ukiwa na miaka 15 au ndiyo tuache. Weka CV nzuri usaidiwe
Kipindi kama hiki ndiyo cha kuwa makini kuliko chore maana mambo ni mengi na muda ni mchache Sana.
Kila Kona DJ anapiga mdundo wake sasa jukumu ni lako usikilize au ucheze huo mdundo. 🚶🏾🚶🏿🚶🏽
Hakuna awezaye kupinga wito wa Mahakama m, hakuna na hatakuwepo. Late president Ben Mkapa ashawahi kuitikia wito wa Mahakama...
huu mchezo wasipokaa vyema CHADEMA Watakimbiana MAHAKAMANI.
Ila uwepo wa KIBATALA ni hatari, jamaa ana akili kubwa sana na anapenda sana kutumia Akili yake kama silaha yake
Daktari atapindisha majibi na atasema mwenye matatizo ni Mwanamke wakati ukweli Mh. Richard ndio mwenye tatizo... Ndoa itaanza kuwa chungu kwa WINI, lakini kwa Mbele Winifrida atashika Mimba... utabiri wangu
Mama Samaia Hassan Suluhu anazidi kuthibitisha kuwa, Kwenye uumbaji Mwenyezi Mungu alituumba Wanaume wa Kwanza lakini AKAWAPA WANAWAKE HEKIMA, UPENDO NA NIDHAMU KAMA UPENDELEO KWAO NA KUTUTOFAUTISHA NA SISI (wanaume)..
wanaume sisi tukipata madaraka tunakuwa jeuri na kusababisha Mabalaa na...
Mama Samaia Hassan Suluhu anazidi kuthibitisha kuwa, Kwenye uumbaji Mwenyezi Mungu alituumba Wanaume wa Kwanza lakini AKAWAPA WANAWAKE HEKIMA, UPENDO NA NIDHAMU KAMA UPENDELEO KWAO NA KUTUTOFAUTISHA NA SISI (wanaume)..
wanaume sisi tukipata madaraka tunakuwa jeuri na kusababisha Mabalaa na...
Wew nunua dagaa pika na ugali wako kisha jaza tumbo lako halafu kimbia ukalale.. Acha kuja kutuuliza maswali ya kitoto wakati wenzako wanakula kiapo na maisha yanabadilika hapo hapo.
Huyu Waziri wa Sheria Prof. Palamagamba Kabudi bwana yaani jinsi alivyotoa sauti nzito kana kwamba anakula Kiapo cha U'makamu Raisi.
Sauti yake unaweza kuogopa hata kuripoti kazini.. Ila sauti yake na Akili yake ni mbingu na ardhi.. Hebu tuone awamu hii ya 6 atakuwaje, pengine alikuwa anafuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.