zipo mpaka sasa. wahi maana hawachelewi kumaliza mahitaji yao
kampuni gani hio mkuuUsichukulie poa kazi za ulinzi, kuna walinzi wametulinda kampuni yetu, Netpay wanalamba 560,000/= Tafuta makampuni makubwa ya ulinzi.
wewe upo lenk gani mkuu?watu wanakudanganya kijana kuna makampuni makubwa ya ulinzi yanalipa vizuri....tu...kuna mtu anapokea kuanzia 320000/= kadri unavyozidi kupanda lenk na mshahara nao unaongezeka....kama hujapata ebu nitafute...tuyajenge...hutojutia
Sijajua policy ya JF forum kama ina ruhusu kuanika confidential za kampany za watu. Ila fanya utafiti tu Mkuu yapo hapa hapa Tz nakuna mdau ameshaitaja moja.kampuni gani hio mkuu
nakuona bw. ochanda katika ubora wako,Karibu gardaworld zamani kk security, njoo tarehe 31 ya mwezi huu ofisi ya mwanza ipo karibu na kamanga fery, interview na mafunzo ni bure, hiyo hela ya udalali itunze ujiendeleze kielimu au ujuzi wa maisha, see you.
i am just a messenger ochanda is trainer there aint sure kama humu naye yupo ningemtag apokee salamu hizoonakuona bw. ochanda katika ubora wako,
haha just kidding man