Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,714
Nchi hii hii ya babu yangu na babu yakoNchi ya babu yenu

Sawa,wait and see.Raisi wa wachawi labda
2025 mama anagombea term ya pili kwa mujibu wa Ole Sendeka.Kitendo cha mama kumteua kuwa waziri wa fedha, kwa ninavyomjua Mwigulu Nchemba atakitumia vema cheo hicho kujiuza kwa watu afahamike zaidi ili kujijenga kisiasa maana ana ndoto za Urais zinamsumbua sana. Daaah!! Poa bwana Mwigulu 2025 umepewa goli ushindwe tu wewe kufunga
Dr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
mwigulu sio PESA apendwe na kila mtu,aliyekwambia mwigulu yupo kwenye loving competition ni nani?Dr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Nyinyi wakwepa kodi ndiyo mnaoumia Mh. Mwigulu ndiyo size yenu mtanyooka awamu hii.Dr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Hapendwi na wakwepa kodi. Imeisha hiyo.mwigulu sio PESA apendwe na kila mtu,aliyekwambia mwigulu yupo kwenye loving competition ni nani?
umeumia sanaDr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
10% maybe. lakin kwa CCM hii wanajua kabisa siku wakimpa nchi mwigulu tunarudi misri.Mimi namkubali Mwigulu hata naamini atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
mwigulu ndoto zake za kupata urais zimetima mama naona kajichanganya kumteua aisee watu wanajua kuroga2025 mama anagombea term ya pili kwa mujibu wa Ole Sendeka.
Kiburi hutangulia anguko! Akijiinua tu, tutampokea huku chini, na haitakua mara ya kwanza!Huyo ni Waziri ambaye hafai kabisa sijui kwanini amemuweka tena kwanza yuko arrogant sana hana sifa ya uongozi siku hizi ni anaona hii nchi kama vile yeye ana hati miliki.
Hata elimu yake ni ya wasiwasi.Jamaa anachukiwa kwa sababu ni wale watu wanaishi kijanja janja halafu hana uwezo wa kuongoza. Busara pia ziro.
yanga timu ya wananchi tutajichotea tu hela pale hazina,tutairudisha singida United katika hadhi yake tupewe nini tena wananchiDr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.
Hata nafasi aliyopewa na JPM ndiyo ilikuwa inamfaa. Kwa sasa alipaswa kuwa ile ya Bashungwa sio sijui. Wizara ya Fedha Mwigulu hafai - mnaweza mkawa mnaogopa bure tu.
Bora hata Dr Mkenda au Dr Kimei ana PR nzuri kuliko Mwigulu. Kuna wengi wanafaa nafasi hiyo lakini sio Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa mkorofi, mwenye visasi na mjanja mjanja hivi.
Mwigulu bora hata angepewa nafasi ya Mhagama halafu Mhagama akapewa TAMISEMI na Ummy akapewa Utalii au Kilimo. Kwa Mwigulu ambaye ni Mwanasiasa haswa ni hakika uchumi utadorora kwa sababu utakuwa wa kisiasa zaidi na hata usitegmee wafanyakazi kupata maslahi mazuri na hata wafanyabiashara itakuwa hovyo hovyo tu.
Kwa kifupi Mwigulu hafai pale - bora abadilishwe haraka.
Inaonekana wewe ndiyo ulikuwa Mwalimu wake wa Darasa la 7 na akaanguka vibaya kwenye mtihani wake wa mwisho sasa unajaribu kumjenga ili isionekane ulichangia kwenye kufeli kwake. Msomi kweli, kama unavyojaribu kutuaminisha, chini ya uongozi mfupi wa Magufuli, anaweza kuteuliwa kuongoza Wizara 3 ambapo kuna Mawaziri wameongoza Wizara moja tu na bado wanaendelea yeye akiwa Wizara ya 4. PhD zilezile za jalalani!Kumbuka huyu sio kilaza Mnyika wala kilaza Mbowe. Ame elimika vizuri sana, na ni mmoja ya watanzania waliofauli vizuri. Inawezekana nazungumza na mwana JF ambaye hajui nini maana ya kupata First Class katika ngazi ya Degree.
Alifanya vizuri kwa nafasi ya Ukkurugenzi, Benki Kuu na Naibu Waziri wa Fedha, hayo ya kumkomesha Rwakatare kama Mbunge wa Bukoba kupitia Chadema haiuondoi usomi wake, weredi wake haitufanyi Watanzania wote tusahau uwezo wake.
Hatushangai tunafahamu kuna watanzania wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii na hawana jema. Ukimtukana baba yako wana kusifia, ukimfanyia mazuri mzazi wako wanakuzomea.
Jamii gani hii ya Jamhuri ya JF. Ukiwa Mchaga utasakamwa Ukiwa Msukuma hafai, ukiwa kiliza uko Chadema wewe Msomi, ukiwa na akili puvu ukiwa CCM wewe mjinga. Taabu tupu.
Kila sehemu yaonesha mwigulu hawamkubali ajitazame anakosea wapiDr Mwigulu Nchemba kati ya WaTanzania 10 wanaolitaja jina lake ni wawili au watatu ndiyo wanamwona ni Kiongozi mzuri. Dr. Mwigulu alikuwa mzuri wakati upinzani ulipokuwa imara - yaani Waziri wa Vijembe Vijembe hivi.