Recent content by Pagija

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kapotea kama Okwi...

    Basi mkeo atakuwa anajivinjari na mkeo.........sababu ni kama wamepanga mtindo wa kutoroka pamoja!....Okwi anajinyoosha sasa..............ahhhhhhhh inauma............dah!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Najuta kuifahamu stand ya Mwenge

    Ha ha ha ha, haya mtoto wa Abuja (sinza kwa wajanja)ila mitandao ya simu kila siku inakupiga 250 za nyimbo na sms za ujanjanujanja!! ha ha ha!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Najuta kuifahamu stand ya Mwenge

    Hujawahi kuibiwa dogo...........watakuibia siku hadi utawapongeza na halafu ukajichoma yako bisbis kujilaumu!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Najuta kuifahamu stand ya Mwenge

    Du Mkuu hapo mwenge mimi pamesababisha niwe nanunua simu za 40 elfu kushuka chini ni majanga!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mh. Joseph Mbillinyi familia yako inakulilia

    Dogo bujash ishu siyo kuzaa ishu ni kulea...........hapa jambo baya ni kutelekeza familia.....amchukuwe amlee mwanaye!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hoja Korofishi: Zanzibar Ipewe Nafasi Kutazamana na Mizimu Yake...

    Mkuu ''MM'' tatizo la baadhi ya watu (hasa viongozi) wanafikiri muungano unahusisha watawala..........kumbe muungano unatakiwa uwe wa maridhiano ya wananchi pamoja na viongozi (wakivaa uananchi na sio utawala) kwani hata Katibu Mkuu wa CCM bwana Kinana amenukuliwa na gazeti la mwananchi leo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nguzo za CCM

    Dogo Mselewa mara nyingi uaanzisha thread utakuwa na stress sana kwa mpango.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mnyika adai hati ya muuungano Zanzibar vs Tanganyika

    Saafi TIGOPESA leo umooklezea kama Minikabang............Mnyika kakusoma utapata peremende!!!!!!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Niliupenda Muungano...

    Usijitoe ufahamu dogo! hii nchi hata akina Shivji wana asili ya india lakini hakuna mwenye kuwahoji sababu wamekamilisha taratibu za uhamiaji/uraia..........nafikiri kuna kamati itaundwa na watahojiwa ni nchi ipi wanataka kusajiliwa...................kwani hata wakati Tanganyika inapata uhuru...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

    Haya!!!!!! yaani upinzani kwenye siasa unakufanya uichukie nchi yako.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Mwenyezi Mungu hapendi Wanasiasa wanafiki na wapenda mambo ya siri

    Acha kujitoa ufahamu dogo.......................!unalinganisha mambo yasiyofanana!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Kidogo kidogo, unashangaa na wewe kupitia mstari huo unaanzisha kanisa.............mara linakuwa kubwa unakula vichwa, watu kibao wamefanikiwa kwa kutafsiri vifungu katika Biblia...................pambana mdogo wangu..........go......go............gooooooooo!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Haya mama..........umesema kweli yako.........na hiyo ni imani yako ni muhimu kuwa huru!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Suala la marumaru yaweza kuonekana anasa kwako ila kwa wengine ni kawaida kutokana na ukwasi.......,labda kwako CL ikoje kwa makaburi ya wapendwa wako (hasa hasa kama ni wazazi wako-samahani kama wapo hai )
  15. P

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CCM (Kinana) amekuwa mpinzani ndani ya CCM?!

    Dogo toa maoni yako Kinana afanyeje kama sio kuisimamia Serikali? acha siasa maji taka kama Mtoi.., ambaye kule kwao Mtae CCM inapita bila kupingwa, yeye anaona atakuwa bingwa kwa uzushi.
Back
Top Bottom