Niliupenda Muungano...

Niliupenda Muungano...

Kwa mara ya kwanza leo naunga mkno hoja yako.

Itakuwa ni pigo kubwa kwa Pengo na Nyerere.

na mm pia for the 1st time naunga mkono hoja y huyu mzee maana pumba sana huyu mzee anazeeka vbaya siku moja alikuja kuharisha hp jukwaani mpk knyaa
ovyoooooooooooo
 
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?

Mahusianoo yotee hayoo hayasababishwi na Muungano... wahindi, waarabu, wazungu, wachina kibao wako bongo kibiashara, kindoa, kinduguu na hatuna muungano na nchi zao.
 
Mzee Mwanakijiji kama unasema hayo kutoka moyoni na hujatumwa wala usikate tamaa Muungano huuende kokote Mungu wa kweli aliyetuumba anataka daima watoto wake tuishi kwa umoja na kwa upendo na siyo kinyume cha hapo!Kwa hiyo Muungano hautavunjika wala hautakufa!Utadumu daima!
 
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?

Umewahi kujiuliza wafanyabiashara/wachuuzi wa kichina wanaishije huku mitaani wakati hatujaungana na china?
 
Acha hofu.huu ndio wakati wa kuipata Tanganyika na ni muda mrefu tanganyika tumevumilia,mpaka makanisa na watu kuuawa kisa najisi sasa kila mtu ajitegemee.Majeshi rahisi kutenga na wapemba wa tandika wataishi vizuri kama wachina,wakongo na wasomali mbona wanaishi na kufanya biashara vizuri,Nasema tena Acha hofu
 
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?
Mawazo yako ni tofauti na jina lako! Nini Wapemba wa Tandika hata wa Omurushaka -kARAGWE,AU kAISHO kyerwa au wawe Nkasi au OMurutunguru ,Ukerewe! Ni lazima wajifikirie wao! Mwanakijiji amekwambia undugu haulazimishwi ,undugu na maridhiano on mutual benefit kama upande mwingine walalamika ,wape wanachotaka Wanzibar wameongea sana ,Sasa na sisi tumeamka kutoka usingizi mzito.....Nakupenda Tanganyika!
 
Kwa hiyo tulianza na Nchi 1, Serikali 2 baadaye Nchi 2, Serikali 2 na sasa tunaelekea kwenye Nchi 1, Serikali 1, lakini kwa kuvunja Muungano! Kweli Waafrika tumelaaniwa maana wakati mataifa makubwa yanaungana, (hata Crimea ilivyojitenga na Ukraine imeungana na Russia), vinchi vidogo vidogo vya kiafrika vinatengana!

Mkuu vipi checkslovakia,yugoslavia,soviet union bado ziko intact? Na hivi karibuni tumesikia scotland wakijiandaa kupiga kura ili kuamua kama waendelee kuwemo united kingdom au la, au navyo ni vinchi vidogo vya ulaya?
 
at times mawazo kama haya huwa yanakuja, but after some time huwa yanaondoka, Mungu ibariki Tanzania yenye nchi mbili na serikali moja
 
Umewahi kujiuliza wafanyabiashara/wachuuzi wa kichina wanaishije huku mitaani wakati hatujaungana na china?
Kamanda Wachina wapo mpaka uswazi juzi nimekumbana nao gengeni wanabagain ksamvu na nyanya chungu!
 
Mimi naendelea na msimamo wangu wa serikali moja,nchi moja.Zanzibar ife kama tanganyika.mtasemaje mmeoana halafu mmoja hataki kuondoka kwao?miaka 50 ya kuungana halafu bado mnazungumzia uzanzibari na utanganyika?you can't be serious aisee unless mniambie muungano ni unfinished business ya marehemu na sasa biashara Hugo imewashindeni watoto wa marehemu matokeo yake mnaua biashara.laiti
marehemu wazazi wenu wangekuwepo?!
Mkuu kwa hiyo inamaanisha biashara ilikuwa ya Nyerere na Karume? Basi ukiona hivyo watoto wameshagundua kuwa biashara hailipi
 
Mi sikuwahi kuupenda muungano hata siku moja, kama kufa mi ulishakufa siku nyingi tu ila nasubiri siku ya kuanua matanga RIP MUUNGANO.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA

Well said wewe ni mtanganyika halisi hamna hila ndani yako.
 
Mkuu Mwanakijiji, hivi umekaa ukatafakari kujua madhara yatakayojitokeza ikiwa Muungano utavunjika? Hivi uliwahi kuwafikiria wale wafanyabiaahara wenye asili ya Pekba ambao wamejazana pale Tandika, Ilala, Kariakoo na Buguruni? Vipi wataishi ikiwa Muungano utavunjika? Mkuu Mwanakijiji, hivi uliwahi kufikiria juu ya hawa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao wametoka pande zote za muungano na wapo kila upande? Mkuu, hivi uliwahi kutafakari mathalan juu ya kuvunjika kwa ndoa yako ambayo imesumu zaidi ya miaka 50 mkiwa mmezaa watoto na wajukuu, mmechuma mali nyingi na kikubwa zaidi mmejenga udugu wa kifamilia?

Usijitoe ufahamu dogo! hii nchi hata akina Shivji wana asili ya india lakini hakuna mwenye kuwahoji sababu wamekamilisha taratibu za uhamiaji/uraia..........nafikiri kuna kamati itaundwa na watahojiwa ni nchi ipi wanataka kusajiliwa...................kwani hata wakati Tanganyika inapata uhuru waliokuwa wanaishi ndani ya mipaka ya Tanganyika walipewa nafasi ya kuamua ama waende nchi zao za asili au wabaki kuwa watanganyika........................Msingi mkuu wa muungano ni watu.........ikiwa kuna watu hawaridhi basi waachwe upande wao ili wasihisi kunyanyasika!
 
Na je mtagawana vipi udugu na upendo mlioujenga kwa muda mrefu?
hivi watu wanavyo achana kwenye ndoa wanagawana namna gani upendo, na vilivyotoka kwenye uume na uke wa yule mliopendana
 
My take is:

Serikali moja: Hakuna Zanzibar wala Tanganyika...ni nchi moja yenye kila kitu kimoja...

AU

Serikali Tatu: Nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar zimeungana...kuunda Nchi ya Tanzania.

BESIDES THAT: hakuna muungano.
 
Hata Jaji Warioba aliupenda muungano na wajumbe wengine wa Tume, lakini ilifika mahali wakaona kama wewe unavyo ona sasa. ili kuelekea serikali moja au kila moja navyake. Hii ya serikali tatu ni kipindi cha transition au grace period ya kila moja kwenda kivyake au kuwa kitu kimoja. so let us follow Jaji Warioba route.
 
Kwa mara ya kwanza leo naunga mkno hoja yako.

Itakuwa ni pigo kubwa kwa Pengo na Nyerere.

Na mimi kwa mara ya kwanza leo nimekugongea like...!

Ila bado NAKUCHUKIA(Kwa sababu ya Udini wako ulionao) japokuwa sikufahamu!
 
Kwa hiyo tulianza na Nchi 1, Serikali 2 baadaye Nchi 2, Serikali 2 na sasa tunaelekea kwenye Nchi 1, Serikali 1, lakini kwa kuvunja Muungano! Kweli Waafrika tumelaaniwa maana wakati mataifa makubwa yanaungana, (hata Crimea ilivyojitenga na Ukraine imeungana na Russia), vinchi vidogo vidogo vya kiafrika vinatengana!

sasa kama shida ni kuungana kwa nini zanzibar isiachwe ichague wa kuungana nae? hoja ya crimea sidhani kama iko sahihi kwani ni sawa na Arusha waseme kwa kuwa serikali inatuua bila sababu basi tujitenge na Tanzania kisha tujiunge na kenya
 
Wacha lizame tugawane mbao....watanganyika tutaweka vichwa vyetu chini kwa huzuni...ndugu zetu wametuacha daah...lakini wajue hawatakuwa salama watajikuta kuna visiwa viwili...pemba na unguja...na pemba nao watataka kuwa na kiti UN...
 
Back
Top Bottom