Kilichotokea kwa Okwi na mke wangu hivyo hivyo, Kwao wanamtafuta hapatika na mimi namtafuta hapatikani ila ananiumiza kwa vile kaacha nguo zake nyingi kwangu, vyeti vya shule na chuo, na now nimepata demu mwenye sifa kubwa zaidi yake but kumsaliti roho inauma na huyu mpya kasema atatoroka kazini aje Mbeya hata wiki mbili za Pasaka na anataka kufikia kwangu, na kwangu nakaa na waswahili napata wakati mgumu sana, sielewi nichukue maamuzi gani licha ya kuwa na uhakika kuwa yuko kwa mwanaume anagegedwa(historia iko hivyo) na huyu mpya anataka na ndoa kabisa.
USHAURI bandugu