Recent content by pafuada

  1. P

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Salamu kutoka kuzimu

    kitu imetulia ila inakuja kimagumashi sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Usiruhusu mtu a-hack account yako

    darasa zuri
  3. P

    JamiiForums Tanzania Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    mbona hilo liko wazi!
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua muhimu za kuanza kufanya meditation

    nitajaribu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ukizikumbuka hizi movie unakumbuka nini miaka hiyo?

    wote wa juzi kumbe. kitu ilikua "one down two to go" yupo fred,jim kely, jim brown.alafu inter the dragon kitu cha bruce lee na boro yang, bila kusahau never say never again kitu cha james bond. vile vile seven men amy. usipime tiketi za kuruka avalon.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kutambua ipad nzuri yenye quality ya juu na duka linalouza kwa bei rahisi hapa dar

    nitarudi nikiwa na pesa nipate ushauri
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa heri Kikwete, umeandika historia isiyofutika kitaifa na kimataifa

    inaitaji kujitoa ufahamu kumsifia mtu huyo.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye nahodha wa mikakati ya wizi Serikalini

    Baada ya kuchafuana kwenye uraisi na kuwekeana mizengwe sasa mmehamia kwenye usipika! kweli hakuna kuaminiana.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Settings ya internet ya halotel

    du! kumbe halotel mpaka uset manual
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

    mada ina ukweli mkubwa.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya vyuo tayari. Semeni lingine tena tuone

    mnajifariji na kauli za wanasiasa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi kuhairisha chuo

    kuna maelezo yananichanganya hapo juu. sijui nifuate kipi? barua kwenda tcu au kwenda chuoni?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

    Mkuu kwa nini unasema TCU lazima nirudi tu.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi kuhairisha chuo

    Wakuu naomba kujua utaratibu wa kuhairisha chuo na gharama zake maana nimechaguliwa MIHAYO TABORA ila mkopo nimekosa, hivyo nataka kuhairisha ili mwaka kesho nisiangaike na TCU na mwaka huu niutumie kutafuta pesa ya kujisomesha. NATANGULIZA SHUKURANI KWA ATAKAE NISAIDIA USHAURI.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

    kweli naona kwangu ni ngumu kwenda chuo bila mkopo.naomba mwenye ufahamu wa jinsi ya kuahirisha chuo na cost zake anijulishe ili mwaka kesho nisisumbuke na TCU.
Back
Top Bottom