Hatua muhimu za kuanza kufanya meditation

Hatua muhimu za kuanza kufanya meditation

Hivi meditation inasaidia nini if at all ukimaliza unarudi kwenye matatizo yaleyale ya dunia? Nadhani ni njia ya kujifariji tu
 
Sijaelewa hapo kwenye masaa 90-100..Yani masaa yote hayo unakuwa umefumba macho?

Masaa 100 ni sawa na siku 4.huu muda wote unakua deep katika kumeditate???hata mimi sijaelewa vyema,au unaingia na kutoka mala kwa mala unakua kama upo likizo fulani hv
 
Hizo ni meditation retreats kuna za siku moja mpaka siku Saba mnakua mpo mahali patulivu nje ya mji mnafundishwa mnauliza maswali mnameditate mnapumzika mnakula
 
Hizo ni meditation retreats kuna za siku moja mpaka siku Saba mnakua mpo mahali patulivu nje ya mji mnafundishwa mnauliza maswali mnameditate mnapumzika mnakula

Nimekusoma mkuu asante,hapa Mwanza hua sijui naweza pata wapi hlo darasa
 
tuna kiu ya mambo yetu yaleeee meditation peleka jukwaa LA intelligence
 
Yeah haya mambo ya meditation bado ni mageni machoni mwa wengi sasa kama una familia halafu usiku au jioni unarejea nyumbani na kujifungia chumbani tuli utafikiriwa mengi mabaya

Hapo nimekuelewa vyema mkuu
 
dah huwezi amini kila siku nawazia hili jambo namimi nilianze. Wanasema kuna umri ukifikisha ni vema kufanya meditation. Huwa naiona imekaa kizungu sana. Same as yoga. Kwa wenzetu wabongo mnaofanya hizi mambo nia aje mafanikio yako, kuna mabadiliko?
 
Jamani samahani sana sikuwa kwenye mtandao mda. Hii ya kuhusiana na masaa 90 - 100. Nimesema kwamba hii hatua sio meditation ni maandalizi ya meditation. Ni hatua ya clear mind.
Haya masaa hufanyi kwa mfululizo. Unaweza ukafanya lisaa limoja au mawili kwa siku.
Nilidokeza kwamba unaweza tengeneza jedwali la namba moja mpala 50. Kila unapofanya lisaa unazungushia namba uliyo maliza.

Kusema kweli hii namna ya kufanya meditation ni rahis na inaweza ikatumiwa na mtu yeyote.
Kama umesoma vizuri thread yangu utagundua kuwa hii ni hatua ya kwanza kabisa kwa ajili ya kuclear mind.

Nimejaribu kutoa utangulizi ambavyo mara nyingi huzuia mtu asiweze kufanya meditation. Mtu unapo clear mind ndio hatua ya pili inafuata.

Kusema kweli ukifanya hivyo kwa masaa hayo ninauhakika utakuja kuniletea majibu. Kwa mfano unaweza ukafanya masaa hayo 90 kwa mda wa mwezi mmoja. Nina kuhakikishia utakuwa transformed kwa namna moja.

Kuna steps kama 7 hivi kifikia enlightenment. Na mimi bado sijazimaliza ninaendelea lakini kwa hatua hizi nina uhakika tutafikia mahali pazuri. Hebu ngoja tujaribu kwa pamoja.
 
Yeah haya mambo ya meditation bado ni mageni machoni mwa wengi sasa kama una familia halafu usiku au jioni unarejea nyumbani na kujifungia chumbani tuli utafikiriwa mengi mabaya
Mkuu sio lazima ujifungine nyumbani. Unaweza ukatafuata namna yoyote iliyo njema. Meditation sio utumwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom