Recent content by P value

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mtanzania anayeishi Hanoi tuwasiliane

    mkuu, umeweza kusafiri pande hizo?, ama kupata contact za wenzetu huko? maana kuna jamaa yangu mmoja nae anatarajia kuwa na katrip pande hzo?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu chanjo ya manjano(yellow fever )

    kiong Kiongozi ghrama za kuchoma hiyo vaccine ni sh ngapi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Mtaalam Chief Mkwawa, baada ya ushauri wako, nimesubscribe kwenye hii app, hakika imeleta unafuu Sana . Inakupatia dakika nyingi na unaccess karibia nchi zote. Appreciation kwako na narecommend kwa watu wengine.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Fursa: Business plan sekta ya kilimo

    Tumeweka kambi mkuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Fursa: Business plan sekta ya kilimo

    Wasaalam ndugu zangu, ninahitaji kupata huduma ya mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandika business plan za sekta ya kilimo.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu ana tatizo la kuanguka na kukakamaa mwili huku akisaga meno

    Pole sana, jitutumie umpleke hospitali kubwa
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Mpoki amfilisi hatari, wanawake mungu anawaona

    Kila aamkaapo, nadhani atakuwa anajiuliza, ''WHAT IS THE MEANING OF LIFE?''. Maana, unakosa upendo kutoka kwa familia, umesalitiwa na mwandani wako, uwekezaji wako kwa jasho na damu umetapeliwa kirahisii na thamani yako katika jamii inaelekea negative.....n.k
  9. P

    JamiiForums Tanzania Huwa unapata maswaiba gani uwapo ndani ya ndege ipitapo juu ya bahari ikiwa kwenye 900km/hr na elevation ya 10 km?

    mkuu, hebu wacheki wataalamu wa ENT (Ear,Nose and Throat) upewe msaada.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Huwa unapata maswaiba gani uwapo ndani ya ndege ipitapo juu ya bahari ikiwa kwenye 900km/hr na elevation ya 10 km?

    Mkuu ulifanya check up ya masikio? Isije ikawa ni Eustachian tube dysfunction?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

    FIFA iko njema
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wataalamu wa ku "code" & "programming"

    Anza kupiga kazi mkuu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana elimu yetu haina uwezo wa kuzalisha wahitimu wenye uwezo wa kujiajiri

    Hapa ndipo tunapokosea kila siku, kuamini kuwa mfumo wa elimu ndo msingi wa ubunifu. La hasha, msingi wa ubunifu ni malezi tunayowapatia vijana wetu wakiwa majumbani. Mzazi hujawahi kuonesha tendo la kibunifu au kuandaa mazingira ya kibunifu kwa mwanao, lakini mzigo wote huu unaamua kuutupia...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya watu kwenye kilimo na ufugaji na jinsi watu wanavyotapeliwa

    Hizi ndo threads mbashara, uzi huu nimeupa 5 stars. Ni must kwa kila mjasiriamali wa sekta hii kuupitia. Hilo suala la kupigiwa faida kubwa, limetawala sana. Mtu anakupigia hesabu hzo, anakuaminisha kabisa baada ya miaka miwili atakuwa Mo. Kwa mwelewa ukiamwambia ukweli, unaonekana kama vile...
Back
Top Bottom