Kama ilivyo katika maisha halisi, tunawasiliana kwa lugha nyingi tofauti likewise ndivyo ilivyo kwenye programming, there are a lot of languages. Kwa muktadha huo huo, jinsi lugha kama mandarin(chinese), english,spanish, arabic zilivyo na native speakers wengi ndivyo ilivyo kwa software development, kuna lugha kama c, c++, java, pythonn..n.k, ambazo hutumiwa na developers wengi. Among those popular languages, ningekushauri as a beginner uanze na python. Why python? Simply because imeonekana kuwa na urahisi/unafuu wa kuelewa basics za programming as compared na hzo nyingine.Mkuu nataka nijikite hapa ''software developer'' lugha gani ya kujifunza km beginner?
1. Kama budget ni ya kawaida, itabid uchukue P.C ambayo RAM yake ni atleast 4 gb, CPU @2.0 ghz na kuendelea but iwe Intel series na pia keyboard yake iwe durable (isiwe mrenda) maana ndo uwanja wa kazi.Iv hii inshu ya coding & programming inahitaji laptop iwe na specification zp?
Kuna laptop hapa specifications zake ni ram gb4 hdd500 Intel core inatosha kwa kazi mkuu1. Kama budget ni ya kawaida, itabid uchukue P.C ambayo RAM yake ni atleast 4 gb, CPU @2.0 ghz na kuendelea but iwe Intel series na pia keyboard yake iwe durable (isiwe mrenda) maana ndo uwanja wa kazi.
2.Kama mfuko wako unahema vzuri, unaweza ukacheki lappylist.com (programming section), ambao huwa wanafanya analysis na kupdate programming laptops kila mwaka, ukaangalia genuine laptop inayokufaa au inyolekeana na hzo.
We endelea kusikia tu eti java rahisi,anza na cNaskia java ndio nyepesi kwa beginners
Kwan Java ni ngumu? Ugumu wake uko wapi?We
We endelea kusikia tu eti java rahisi,anza na c
Kuna laptop hapa specifications zake ni ram gb4 hdd500 Intel core inatosha kwa kazi mkuu
Wasalaam,
Napenda sana Kujihusisha na inshu za Ku "code" na natumain October ntaanza kusoma programming.Napenda kuomba ushauri ni application gani & website IPI ni nzuri kwa tutorial ya first learner (beginner) jinsi ya Ku code,natanguliza shukran kwa majibu mtakayonipa.
Asant mkuu naanza na codeblocksKama utasoma c/c++ weka codeblocks: Java weka intellij web developing weka apatna studio
1. Kama budget ni ya kawaida, itabid uchukue P.C ambayo RAM yake ni atleast 4 gb, CPU @2.0 ghz na kuendelea but iwe Intel series na pia keyboard yake iwe durable (isiwe mrenda) maana ndo uwanja wa kazi.
2.Kama mfuko wako unahema vzuri, unaweza ukacheki lappylist.com (programming section), ambao huwa wanafanya analysis na kupdate programming laptops kila mwaka, ukaangalia genuine laptop inayokufaa au inyolekeana na hzo.
Html siyo programming language bali ni markup lnguage mkuu.Nimeanza kujifunza kupitia freecodecamp.com..hivi hii html ni moja ya lugha ipi.? Ambayo elements zake ni <h1></h1> naomba mnijuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm nina PC yenye 2GB ram na hdd ya kutosha je haiwezi pia kufaa kwaajili ya Programming?1. Kama budget ni ya kawaida, itabid uchukue P.C ambayo RAM yake ni atleast 4 gb, CPU @2.0 ghz na kuendelea but iwe Intel series na pia keyboard yake iwe durable (isiwe mrenda) maana ndo uwanja wa kazi.
2.Kama mfuko wako unahema vzuri, unaweza ukacheki lappylist.com (programming section), ambao huwa wanafanya analysis na kupdate programming laptops kila mwaka, ukaangalia genuine laptop inayokufaa au inyolekeana na hzo.
Kuna app inaitwa sololearn iko vzuri kwa beginner! Uzuri inakupa options za kujifunza lugha mbalimbali but also kuna section ya comments ambapo unaweza kupata majibu ya maswali uliyokuwa nayo kichwani and also utakapouliza swali kuna nafasi atleast 40 percent ya kujibiwa.
Kuhusu lugha gani ujifunze, nafikiri ni suala ambalo linabidi litegemee sana na swali hili, 'LENGO langu nini hasa?" mfano, lengo langu ni kuwa web developer, mobile developer, software developer, au kotekote..n.k..ukishalijibu hilo swali, I bet utakuwa na mwanzo mzuri
NI bora kwa mwezi huu ukautumia kwa kuziangalia hizi applications na websites wanazozitirisha wadau ili uangalie zile zinazomeet your profile. Tunajifunza kwa staili tofauti tofauti, wengine wanacatchup mapema kwa kutumia vitabu, kuangalia video, kusikiliza...n.k..therefore ukichagua application au website inayomeet your learning strength, zoezi la kujifunza linakuwa rahisi.