Mtanzania anayeishi Hanoi tuwasiliane

Mtanzania anayeishi Hanoi tuwasiliane

Habari zenu ndugu zangu watanzania,!? Yeyote aliepo Hanoi city tuwasiliane.
mkuu, umeweza kusafiri pande hizo?, ama kupata contact za wenzetu huko? maana kuna jamaa yangu mmoja nae anatarajia kuwa na katrip pande hzo?
 
Back
Top Bottom