Recent content by OX11R1

  1. O

    JamiiForums Tanzania TBL yapunguza bei ya Castle lite, sasa ni 1500/= tu

    Wacha wapunguze tu.Ila bia ya kunywa ni Safari ndogo.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kijana ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kumbaka ng'ombe

    Hakimu alikosea.Alipaswa ahukumiwe maisha gerezani.
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Report: Kenya inaongoza E Africa kwa kuchukiwa na wananchi wake

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Matiko wa Tarime mjini angalia daraja hili

    Tulichagua mbunge atuwakilishe.Kama hao watu wanaweza tatua hili tatizo,basi ni jukumu la mbunge wetu kushirikiana nao.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Matiko wa Tarime mjini angalia daraja hili

    Unaishi wapi mkuu? Usipayuke tu ili mradi upate likes.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Matiko wa Tarime mjini angalia daraja hili

    Picha hii ni ya daraja la mto Mori.Karibu na kwa Ngariba ukitokea Ronsoti. Hili ndilo daraja linalo unganisha Nyamihuto kuja au kutoka Tarime town.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Uchumi unaimarika bei ya mchele yashuka kutoka sh.2600 hadi sh.1300 kwa kilo!

    Kushuka kwa bei ya vitu haimaanishi kuwa uchumi umeimarika.Ina maanisha mahitaji yako chini ilhali bidhaa husika imefurika masoko.Wanauchumi wana sema "demand is low and supply is high". Ni hali ya kawaida kwa mazao ya kilimo kupanda na kushuka bei. Kumbuka kwamba,bei hizi zikishuka mkulima...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Afrika mashariki ingekuwa nchi moja ingekuwa hivi.

    Dar es salaam,tangu jadi,na ilivyo hivi sasa haipo ata robo ya Nairobi.Sioni ingekuwaji mji mkubwa.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nilimgonga bodaboda kwa bahati mbaya, nikampeleka hospitali akapona ila kero yeye na baba yake wananiomba hela

    Mweke wazi.Mwambie kwamba humpi chochote.Akitaka afungue kesi mahakamani.Inashangaza sana kuskia mtu anatumia ajali aliyoisababisha kuwa kitega uchumi.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Kula wife za watu ndio kazi yetu sisi mabachelor.Tayari sha tafuna wanane halafu wapumbavu mlio oa mna niambia nioe!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

    Fungua kesi ya madai katika Mahakama ya Mwanzo mnako ishi.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kirumi ya sombwa na mafuriko

    Barabara pekee ya lami kuiungia Tarime haipo tena.Hii ni baada ya mvua kubwa iliyo nyesha majira ya 3 asubuhi kusomba daraja la Kirumi.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM

    Mimi kama mwana CCM nahimiza wanachama wenzangu tuwe wapinzani ndani ya chama.Kwa hili namaanisha tusipoikosoa chama chetu hiki tukufu, itazidi kuchafuliwa na viongozi wachache ambao sasa wamekuwa miungu watu. Ombi langu ni tuikashifu makosa yanayo fanywa kama tunavyo pongeza mema...
Back
Top Bottom