Recent content by otmar

  1. otmar

    JamiiForums Tanzania Tusalimiane kilugha

    Leo tusalimiane kilugha ukimpata wa kabila lako reply muanze kukumbuka nyumbani. Ngoja mm nianze, WAKASHINA !!?
  2. otmar

    JamiiForums Tanzania Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

    Nimewasoma
  3. otmar

    JamiiForums Tanzania Natafuta movie mpya yenye kwichikwichi nyingi na 'mahaba niteketeze'

    Mh. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. otmar

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo nchi 10 zinazolipa vizuri mishahara Duniani

    Mkuu ikiwezekana tuletee na za Africa tuone km na ss tumo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. otmar

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Mbona hayajajibold]
  6. otmar

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Kumbe]
  7. otmar

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bodi ya Ushauri ya Kimataifa Kuhudhuria Mazungumzo ya Barrick/Acacia na Serikali

    Mimi nina Imani sana na rahisi Magufuli ni mtu Mwenye msimamo na asiyeteteleka kutetea maslai ya nchi yeye ni tofauti na wengine wengine naamini katika hili Tanzania tuibuka kidedea. GOD BLESS OUR TANZANIA BLESS HER PRESIDENT DR.MAGUFURI.
  8. otmar

    JamiiForums Tanzania Ndege kubwa kuliko zote duniani, kuanza safari 2019

    Kila mtu analaumu sijui muhusika nani!
  9. otmar

    JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa ni sababu kwanini tuko nyuma karibu kwenye kila kitu hata ndani ya Bara la Afrika

    Umenifanya niwaze kidogo na kugundua kuwa kunachembechembe za ukweli kwa ulichokisema maana hata Tanzania IQ level xinatofautiana kwa watu wa kaskazini kwa kina Joh Makini na watu wa kusini kwa kina harmo........ Utofauti upo
  10. otmar

    JamiiForums Tanzania Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

    Mleta mada ungetuambia Kwanza ww ni jinsia gani!
  11. otmar

    JamiiForums Tanzania Jamani, Dr. Ulimboka yuko wapi siku hizi?

    Nasikia yuko nchi za nje ila sitasema ni nchi gani kwa sababu za kipolisi.
  12. otmar

    JamiiForums Tanzania Wanaume kiumbe kilichokuwa adimu kinaelekea kutoweka

    Now days wanawake wanatongoza what do you expect? Namashaka na mwanzilishi wa mahusiano yenu huenda ww ndiye uliyaanzisha.
  13. otmar

    JamiiForums Tanzania Kambi la masoja: Wanaume tunapeana maujanja ya vitu ambavyo ulikuwa huvijui kuhusu wanawake

    Asante kwa elimu. Nasubiria iendelee
  14. otmar

    JamiiForums Tanzania Kambi la masoja: Wanaume tunapeana maujanja ya vitu ambavyo ulikuwa huvijui kuhusu wanawake

    Nimerudia kusoma zaidi ya Mara mbili big up mkuu
Back
Top Bottom