mtotowatatu
Senior Member
- Jul 31, 2016
- 103
- 58
Ni Nature ya utawala wa awamu ya tano, kama walikatazwa kusema kuna njaa utashaangaaje kushushwa cheo kwa kusema shule ina changamoto.. Tukubali katika awamu hii uongo ni daraja na ukweli ni ajali.
Nimekosa tu kitufe cha dislikeMm huwa nikiona malalamiko ya walimu sipati huruma dhidi yao. Hawa ndiyo watu wanao ikumbatia ccm. Huwa wanatumika vibaya wakati wa uchaguzi.
Lkn pia kwa wingi wao ktk nchi hii miongoni mwa watumishi wa umma wangeweza kuishinikiza serikali kuboresha maslahi yao. Lkn kila siku wao ni kulialia tu.
Diwani, mkurugenzi na wakuu wa wilaya wakitaka kuonekana wanafanya kazi wanamnyanyasa mwalimu.
Tatizo kubwa walimu wengi walifeli, ndiyo maana hawajiamini. Sifa ya kuwa mwalimu lazima ufeli kwanza.
Walim wanatuangushaga sana wanaweza kunyanyaswa hivi lakn Ukifika 6days before election wanapewa malimbikizo Tayar wanasahau na mim Sina huruma nao wapigwe tu maaana Hamna namna nyingine alaaMm huwa nikiona malalamiko ya walimu sipati huruma dhidi yao. Hawa ndiyo watu wanao ikumbatia ccm. Huwa wanatumika vibaya wakati wa uchaguzi.
Lkn pia kwa wingi wao ktk nchi hii miongoni mwa watumishi wa umma wangeweza kuishinikiza serikali kuboresha maslahi yao. Lkn kila siku wao ni kulialia tu.
Diwani, mkurugenzi na wakuu wa wilaya wakitaka kuonekana wanafanya kazi wanamnyanyasa mwalimu.
Tatizo kubwa walimu wengi walifeli, ndiyo maana hawajiamini. Sifa ya kuwa mwalimu lazima ufeli kwanza.
Nyie endeleeni kuimba tu Lori linasonga mbele na dereva anajua anakolipelekaKwa kweli imeniuma sana. Hata watangazaji wa Sahara media wameeleza kwa simanzi sana hali hiyo
Ametumia lugha Kali lakini ukweli walimu hamjiamini Hata kidogoNdio maana via vyako vya uzazi havifanyi kazi,,
Mwalimu ndo kakufikisha hapo ulipo hata kuweka tuvidole vyako hapo kwenye kasim kako ni mwalimu..
Kwa nini usipate laana???
Leo umejua kusoma,kuandika kisha unaropoka eti walimu walifeli.
Mfyuuu.....
Tatizo chama cha walimu kimetekwa nyara,na watawalaTanzania ni nchi ya ajabu sana tena sana ,,Kuna mkuu wa shule iringa huko shule ya msingi kibonzile( sina hakika na jina la shule na wilaya) kashushwa cheo kwa kosa la kuziongea changamoto za shulen kwake ,
Baada ya kuziongea wahisan wakajitokeza na kutoa misaada ya ukarabati
Lakin katika hali ya kushangaza na ujinga wa baadhi ya viongozi tulio nao ,mwana mama huyo ameshushwa cheo eti amekiuka taratibu za utumishi na afisa elimu ana jasifu bila kwa ujasiri kabisa , mbona swala la madawati liliongelewa kwa uwazi ??
Mamlaka husika mmulikeni afisa elimu wa wilaya hiyo anaye muadhibu mwalimu kwa kuwa mkweli kueleza changamoto za shule yake ili ipate kurekebeshwa na kweli wahisan wamejitolea kusaidia shule hiyo ,
HUU NI UNYANYASAJI AFISA ELIMU HUYO ANATUMIA VIBAAYA MADARAKA YAKE.
Mkuu mwalimu wangu wa primary alikuwa hana cheti. Amenyimwa kiinua mgongo ktk zoezi la ukaguzi wa vyeti feki.We sexless huna nidhamu na walimu hujaweza kabisa kutumia lugha mbadala hadi unawashusha thamani kwa kiwango hicho?Ina maana mwl wako alikufanya ujue kusoma na kuandika alifeli mtihani?
Asante mkuu kwa kuniunga mkonoAmetumia lugha Kali lakini ukweli walimu hamjiamini Hata kidogo
Mm ndiyo maana siwaonei huruma kabisaWalim wanatuangushaga sana wanaweza kunyanyaswa hivi lakn Ukifika 6days before election wanapewa malimbikizo Tayar wanasahau na mim Sina huruma nao wapigwe tu maaana Hamna namna nyingine alaa
Hutaki kuusikia ukweli mkuuNimekosa tu kitufe cha dislike