Recent content by Othman H

  1. Othman H

    JamiiForums Tanzania Kilomita za Gari

    Alafu swala la km sio kitu cha kukipa kipaumbele sana, saivi kuna wataalam wanazipunguza hzo km. Utakuta gari imetembea km 2500000 afu mtu kaipunguza hadi km 5000, usipokua makini utaingizwa bongo. Chakuzingatia uitest ww mwenyewe au umtafute fundi unaemwamini aifanyie checkup but kuwa makin...
  2. Othman H

    JamiiForums Tanzania Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Kwani ile njia ni mali ya ccm? Hebu changamsha ubongo bwana usiongee pumba, anahaki ya kupita njia yeyote ile..! Twafa..
  3. Othman H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    Baba usikurupuke, endelea kufanya uchunguzi na jifanye hujui chochote ipo sku utajua ukweli.
  4. Othman H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufanya mapenzi na binti mwenye jinsia mbili?

    Atakua jini lile yaani ku*** na mb***... Sijawahi ona
  5. Othman H

    JamiiForums Tanzania New story: My blood is green, yellow, blue and black, story ya ujasusi.....

    Duh.... Aseee! Hii kitu so mchezo yaani iko vizuri kinyama hasa mandhari ykw ilivo, big up mkuu.
  6. Othman H

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Naulizia dawa nzuri ya m'ba.
  7. Othman H

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Naulizia namna ya kutibu magonjwa ya ngozi kama vile m'ba
  8. Othman H

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Shukran mkuu..
  9. Othman H

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Maji yamezidi unga au unga umezidi maji..?
  10. Othman H

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Jaman riwaya ya paniela inapatikana wapi?
  11. Othman H

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Sasa tunaanzaje ili kuweza kumiliki hii pesa
  12. Othman H

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Hebu ntumie mkuu npitie
  13. Othman H

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kupata bidhaa kutoka Dubai

    Mimi naitaj kufaham kuhusiana na biashara ya vipodozi.
  14. Othman H

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kusave mauzo ya kila siku katika duka

    Chuma ulete huyo
  15. Othman H

    JamiiForums Tanzania Kuna App gani ya kutunzia kumbukumbu?

    Naombeni mnijuze wadau, Ni APP ipi inayoweza kutumika kutunzia kumbukumbu za biashara, yaani daily sales kwenye computer?
Back
Top Bottom