Unaweza kununua gari yenye km idadi yoyote, kutegemea mfuko wako. Wingi wa km inamaanisha pia uchakavu wa injini. Injini ndiyo kinu cha kufua nguvu ya gari. Ikiwa injini itakuwa imekwenda km nyingi, maana yake inaashiria kwamba msukumo sahihi wa injini hiyo utakuwa umepungua ukilinganisha na upya wake (pulling power).Wakuu Gari ikiwa imetembea kilomita ngapi haifai kununua......
Msaada tafadhali
Kama gari inahudumiwa ipasavyo odo readings doesnt matter. Kuna kitu kinaitwa service history ukipata hio ndio unaweza kuijua gari ikoje.Wakuu Gari ikiwa imetembea kilomita ngapi haifai kununua......
Msaada tafadhali
Ni kweli kabisa prondo.Kama gari inahudumiwa ipasavyo odo readings doesnt matter. Kuna kitu kinaitwa service history ukipata hio ndio unaweza kuijua gari ikoje.
Usidanganywe gari ya 2003 eti ina km 30,000! Ukiniwekea gari ya 2003 km 30,000 na ingine km 120,000 nitachukua yenye 120,000.
Sasa hivi natumia gari lina km 235,000 liko vizuri sana!
hahahahahaha mkuu mbona haya mambo yapo sana hembu cheki hizo mashine ni za kushushia KM na kuongeza kwa jinsi utakavyo....so inaonekana kuna namna ya kushusha km
Gari ni matengenezo tuKama gari inahudumiwa ipasavyo odo readings doesnt matter. Kuna kitu kinaitwa service history ukipata hio ndio unaweza kuijua gari ikoje.
Usidanganywe gari ya 2003 eti ina km 30,000! Ukiniwekea gari ya 2003 km 30,000 na ingine km 120,000 nitachukua yenye 120,000.
Sasa hivi natumia gari lina km 235,000 liko vizuri sana!
Pamoja sanaNinayotumia ni km laki moja lakini ukikanyaga inaweza kushinda yako ya km 50, jambo kubwa ni service tu.
Mkuu hayo magari ni roho ya paka ili mradi tu ipate service on timeUbora wa gari ni service Mimi nina Rav 4 ya 2000
Lakini mambo yake yanatisha..iko poa
Ukipata gari ya Mjeruman(BENZ,VW na BMW) nyingi zina speed 220kph hadi 300.Hapo Land Cruiser VX-V8 atasubiri. Uzuri wa Mjerumani gari zake zina high speed na ni nzito sana hivyo kuwa na balance kubwa iwapo barabarani.Ni kweli kabisa prondo.
Nina gari yangu iliyotengenezwa mwaka 2004 niliiagiza toka uingereza miaka 4 iliyopita. Kwa sasa in km 246,000 lakini wallahi mashine yake muruwa kama cherehani.
Mara nyingi hupata kigugumizi nikipata safari ya Arusha, je nipande ndege au niendeshe gari yangu.
Na huko barabarani mambo yake si mchezo. Hizo vx V8 mbali na kuwa mpya kabisaa nazihesabu kama vile hazipo.
Gari matunzo. Ifanyie service stahili nawe utaifurahia.