Recent content by osirwa

  1. osirwa

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Ni mkopo ati na wala sio Msaada!!! Kwa kanuni za mkopo yule mwenye nazo ndo ana Sifa zaidi za kukopeshwa mana ana uwezo wa kurejesha. Pili shule za private zipo kuisaidia kutoa Huduma hii ya kijamii iitwayo elimu. Serikali pekee kimsingi isingeweza kutoa kwa wote na kwa ubora unaotakiwa. Swala...
  2. osirwa

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Kila mtu anahusika apo kati ya hao wanaume saba na uwezekano wa kuzaa watoto 7 ni mkubwa sana. Pole sana na hongera kwa wito wako wa ugawaji.subiri kombeeeee
  3. osirwa

    Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

    Mtoa mada usitake kuwashawishi watu waendelee na maisha ya anasa. Vitabu hivi vya dini si tu vinasaidia kwa maisha ya baadae ya peponi/mbinguni bali pia vinatusaidia katika maisha yetu ya kila siku hapa duniani. Kiujumla vimejaa hekima isopimika na vinaleta uadilifu katika jamii. In short wee...
  4. osirwa

    Ushauri kwa Serikali kuhusu elimu

    Umefikiria kwa shule za mjini tu,,,, kuna shule ziko porini sana ambazo hazina miundo mbinu za kuwezesha hizo CD
  5. osirwa

    Maneno ya Mademu na maana zake halisi!

    Jua maana na tafsiri kabla ya kutumia maneno haya ya kimapokeo
  6. osirwa

    Kwanini Misibani Watu wengi hung'ang'ania kutaka kubeba au kuligusa tu Jeneza la Marehemu?

    Wengine wanataka kuhakikisha kama ni kwel umekufa au la
  7. osirwa

    naitaji pikipiki ya bei nafuu 600,000

    Tengeneza ya kwako
  8. osirwa

    Wadada acheni uvaaji wa vitu hivi mnajidhalilisha

    Usipendelee wa migodini aisee,,, anza kuhudhuria ibada utakutana nao uko lkn kumbuka hao hutowakagua mpaka utakapo kabidhiwa rasmi mbele ya mashahidi[emoji16]
  9. osirwa

    Wadada acheni uvaaji wa vitu hivi mnajidhalilisha

    Mkuu yaelekea umewakagua sana....[emoji16]. Wee chagua wako ambaye hatumii hayo mazaga baki naye. Hao wengine waache wafanye yao
  10. osirwa

    Msaada: Inawezekana nina matatizo makubwa katika mahusiano

    Tumsaidien maadam ameweka tatizo lake wazi na siyo kumponda tena. Huyu angekuwa anakaa tu peke yake hata kwenye hili jukwaa asingekuja. Kumbukeni hii dunia ina watu wa kila ainaaaaa
  11. osirwa

    Ushauri: Mke wangu mchafu

    Kuna kitu umemtenda siyo bure! Jaribu kusoma hiyo meseji anayojaribu kukutumia maana inovoonyesha mwanzoni hakuwa ivo labda ulianza wewe sasa ye anamalizia
  12. osirwa

    Matusi ya kingereza VS Kiswahili

    We unawaza kutukana tuuuuu!!! Ungekumbwa na katukio hata kadogo usingeyawaza hayo!!! Tuungane kuwaombea wenzetu waliopatwa na matatizo acha zako hizo
Back
Top Bottom