Namshauri mtoa mada aangalie suala la cash management kwa mapana zaidi, dunia inakokwenda kinachoendelea ni upunguzaji wa cash kupitia bank transfers, cheque na digitization of payments.
Wakati wewe unaogopa ATM zinazopokea cash wenzako tunafikiria jinsi ya kupunguza matumizi ya cash katika...
Ruvu JKT Operation miaka 30 ya uhuru. Nakumbuka
1. Siku ya 'bogi' tukiwa tumekimbilia porini tunawasikiliza masulela waliokamatwa kupelekwa Chita wanaimba ' Eende Chita ubaki Ruvu, yote makambi makubwa, ioooo, hooooooo, ooo, yote makambi makubwa'
2. Siku nilipisingizia kuumwa kwa Dr Omar...
Kama una akili timamu badala ya kurukaruka kwa furaha unapaswa kujiuliza kuwa baada ya miaka 50 ya Uhuru kiwango cha elimu na upashamaji habari kwa Tanzania kiko chini kiasi kwamba kuna wananchi hawajui hata jina la chama kikuu ya upinzani? Kimsingi ni aibu kwa CCM kuwa bado tuna wananchi wenye...
Kijana tafadhali tueleze zaidi ya kushinda uchaguzi ni nini wananchi watanufaika nacho toka CCM. Maana naona kila siku CCM mnaongelea kushinda uchaguzi, lakini hamuendi hatua moja mbele na kueleza jinsi gani wananchi watanufaika na utekelezaji wa ilani ya CCM, mipango ya maendeleo ya miaka...
Agreed, however, this type of transaction does not feet 100% in the definition of mobile money. Why? I do not think regulators such as central bank can record this type of transactions and provide statistics. That is my opinion and I stand corrected.
Is M-PESA a Kenyan system? Yes and No. Why? You need to go through the history of M-PESA to know it was developed well by Vodafone but for Kenya market.
It is true that for Kenya Safaricom dominates the market of mobile banking, the main reason is that Safaricom's share in the mobile...
Said Nkumba alipata division four Moshi Technical School miaka ya themanini kipindi ambacho elimu ya ufundi ilikuwa inapewa uzito wa kutosha na taifa. Nadhani mnaweza kujua ni mtu wa aina gani huyu na kuachana naye.
Kimbunga kumbe tulikuwa pamoja, mnenikumbusha hiyo siku mambo tuliyofanya na jinsi kunji lilivyoendelea. Unamkumbuka Selestine Mushi? Naona siku hizi kawa mkurugenzi wizarani
Muda uliotumia kuandika hapa ungetosha ku-google na kupata jibu, haya nimefanya kwa niaba yako na haya ndo majibu
CORE Securities Limited
Address:
CONTACT PERSON:
Mr. George L. Fumbuka, MBA FCCA
Chief Executive Officer
PHYSICAL ADDRESS:
CORE...
ATCL haina bodi ya wakurugenzi? Na kazi ya bodi ni nini kama waziri ndo anahusika na usimamizi wa shirika? Nilitegemea ajira za uongozi kwenye shirika zisimamiwe na bodi moja kwa moja.
Ndugu Mnyika, nimeshtuka kidogo kusoma ulivyoonesha kumuunga mkono Mbowe kugombea urais 2015. Kimsingi mimi binafsi inanipa shida kidogo. Mpaka hapo itakapodhihirika kuwa siko sahihi nitaendelea kuamini huu ni mpango kabambe wa watu wa CCM (maybe Lowassa camp) kumwondoa Dr Slaa kwenye kugombea...
Nashukuru kwa kuletwa hoja hii, ni jambo la muhimu kuwa na uangalizi kwenye hizi aina mpya ya biashara. Nadhani kwa kuna umuhimu wa BOT kwa kushirikiana na TCRA kuangalia kwa pamoja suala hili. Sababu ya kutoa ushauri huo ni kuwa biashara hii inahusu masuala ya pesa (BOT) na masuala ya mobile...
Tafadhali usiandike lolote bila kuwa na taarifa sahihi. Estim sio kampuni ya Rostam, labda ungeongelea CASPIAN. Estim inahusishwa na Patel wa MM Steel.
Mbona mnataja wabunge wa CHADEMA ambao hawakuwa bungeni bila kuangalia wa vyama vingine. Ina maana wabunge wote wa CCM walikuwepo wakati wa hotuba hiyo? kwenu kila mbunge wa CHADEMA ambaye hakuwepo maana yake ametokataa uamuzi wa Mbowe, fikra hiyo ni ya kisayansi?
Kama unaamini kuwa Idrissa ni CEO mzuri unapaswa kuelewa pia kuwa CEO mzuri anaweka strategy nzuri, kwa maana hiyo hiyo kama Idrissa aliweka stragety nzuri na board of directors wapo palepale ni miujiza tu ingemfanya Eng Mhando afanye Tanesco ifilisike ndani ya kipindi kifupi tu tangu aingie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.