Recent content by oscar mgembe

  1. O

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kununua Suzuki Swift

    Wadau mimi nataka kujua hii swift sport vipuri vipo au mauzauza
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kama tatizo ni katiba mbovu basi marekebisho ya kwamza kabisa ni "Uwepo wa mgombea binafsi"

    Kwa upande wangu mgombea binafsi si shauri sana mambo yana weza kuwa yale yale hapa kuwe na kipengele cha kuwaadabisha wachaguliwa kama hawaja tekeleza ahadi au hawajafanya kazi zao ipasavyo katika kuwatumikia wananchi; na kama itakuwepo hii section tunaingia nao makubaliano wasipo wajibika...
  3. O

    JamiiForums Tanzania “Wanaume Wenye Umri wa Miaka 40 na Kuendelea: Kwanini Unapaswa Kuwa na Chai ya Majani ya Mstafeli, Mpera na Mronge Kwenye Meza Yako Kila Siku”

    Mimi natumia majani ya mpera nusu kikombe cha chai kwa siku moja tuu. Asubui kabla sijala kitu kwa kweli kuna matokeo chanya
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Outlander PHEV – SUV kali ya Hybrid na Kuchaji kwa wapenzi wa EV!

    Hizi gari niliona sehem nilizania kipengele na mdogo wangu anasoma japan alinitumia picha akania mbia bei ya manunuzi japan naweza fika ata $ 3k inategemea na hali ya gari bado nilijua kipengele ngoja niendelee kufatilia vizuri
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

    Sasa wewe jifanye mjanja ubebe hizo sifa kama unaweza kukutana nazo kwa kizazi hiki cha amdala kiuno cha alfu 2 ndio utaanza kusaga meno
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daktari Magreth aliyejiua inadaiwa ni kwasababu ya mchumba wake kukataliwa kwao

    Siyo kwa ubaya ila kabila hili huwa linataka muda mwengine kuwa kama na tamaduni za kihindi yani ni wao kwa wao tu
  7. O

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Biashara ya Clearing and Forwarding Agent

    Mimi nataka niweke kwa ajili ya magari soko si bado lipo sana
  8. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii companies from japan

    Kuna mtu yeyote ambaye asha wai agizq gari kwenye hyo company
  9. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii companies from japan

  10. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  11. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Tatizo letu watanzania atutaki kuthubutu kila biashara ina hasra na faida try it
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

    Salary ata iwekubwa vipi serikalini utoboi ni ww akili yko ya kujiongeza ktk biashar au fursa zingine hali coz serikalin awa bani sana kwenye ruhusa
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

    Ni bora uombe likizo ya bila malipo kuliko uache kazi
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

    Ninavyo helewa mimi now mfumo ni moja ata kwenye mashirika ya umma coz watu wanahama sana na kuchanganywa changanywa
Back
Top Bottom