-Kihusu engine hakuna tabu, ni wewe tu na utakavyo ipenda kwa service.
-Ndani ina nafasi nzuri tu ukilinganisha na vits na ist.
-Iko juu ground c yake, haisumbui ktk barabara za mashimo.
Mafuta iko chini sana kwa mizunguko ya kawaida, ila ukibeba mzigo mzito/watu wakubwa levo siti, gari itatumia mafuta mengi hadi utashangaa. Hilo ni tatizo la magari madogo karibu yote, lisikutishe. Ukibeba levo siti watu wazima itakupiga kama km.09-10/L 1, na kama ni miinuko itashuka chini ya 9.
Changamoto kubwa kwa Swift old ni miguu ya mbele kuvuma sana, hata ukirekenisha huwa inajirudia, ila wengine humaliza hilo tatozo kwa modficatio ya kukata miguu ya Swift na kuigeuza kua ya corola, tatizo linaisha