nimesoma kwa makini ndugu na kugundua kuna logic hapo! ccm hawapendi kabisaaaaa wananchi wajue kuwa kuna mambo wameshindwa kutokana na "ulegelege wao" unaozaa viongozi na serikali legelege au kwa msamiati mzuri "serikali rojorojo"!
ebwanaee! walimu wanaonewa kweli kwasababu;
1.waliwahi kumfundisha na akapata ujauzito pengine ilikuwa mida iliyosogea (si kigezo)
2.huenda kweli mzazi aalikosa ada ya tuisheni hivyo akasingizia
3.walimu wanasingiziwa kwasababu ndio pekee wenye muelekeo mtaani kwao hivyo mzazi anataka anufaike...
mzee wetu tunampenda sana kwani ni mtetezi kweli yuko tayari kukosa yeye kwa manufaa ya wanyonge MUNGU ambariki na ampe nguvu 2010 aweze kutwakilisha vyema mjengoni... namuaminia!
haa! ni mara yangu ya kwanza lakini imenigusa... kimsingi hapaswi kuwalaumu wanaomkosoa kwani aliwahi kusema kuwa anapenda kusikiliza maoni ya watu. Jambo linalonishangaza ni kuwa anapoambiwa baadhi ya mambo yanayomgusa yanamuumiza ukweli ni kwamba ile nguvu aliyoingia nayo mheshimiwa imepungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.