Recent content by Orril

  1. Orril

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC asema Treni ya SGR, NO abiria kubeba vyakula, NO mafurushi makubwa

    Njaa haina masaa, kuna mtu atahisi njaa wakati wengine bado, kuna mwingine ameacha kula kuwahi treni akaona hawezi kukaa chini ale badala yake abebe atakula akikaa. Kwa kifupi safarini kuna kula hilo halina maswali labda kama ni magunia yanasafirishwa
  2. Orril

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC asema Treni ya SGR, NO abiria kubeba vyakula, NO mafurushi makubwa

    Wananchi kubeba chakula ni lazima. Usafiri siyo suala la kuzuia watu kula. Wao waweke mazingira safi, me nadhani ni kwa sababu ni mwanzoni tu baadaye hadi kuku na mbuzi tutapanda nao
  3. Orril

    JamiiForums Tanzania Bandari na Mwendokasi wamepewa wawekezaji, nashauri TANESCO wapewe wawekezaji pia

    Kimsingi mifumo yetu iko hoi. Wanaotuongoza hawana mwelekeo wowote ni kwenda tu mbele bila kujua ni wapi. Tungekuwa na dira na mwelekeo wa kitaifa ingekuwa vyema. Hawana maumivu na Tanzania kitoendelea
  4. Orril

    JamiiForums Tanzania Bandari na Mwendokasi wamepewa wawekezaji, nashauri TANESCO wapewe wawekezaji pia

    Huenda wameshinda zabuni ya wazi.
  5. Orril

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

    Mimi ni mtanzania, kipindi cha mfungo nikila mchana Dar au Dodoma siyo kosa. Nikila Zanzibar ni kosa. Na hii ni nchi moja, katiba moja. Sijui huu ujinga umetoka wapi
  6. Orril

    JamiiForums Tanzania Hata hiki kidubwasha tunaagiza China!

    How to breathe properly? Huu ni utumwa wa kifikra! Siyo kila kitu unajifanya unajua. Breathing ni involuntary action na huwezi kujiendesha kupumua.
  7. Orril

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Sioni aliyejipa kazi
  8. Orril

    JamiiForums Tanzania Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Hivi siku hizi na hivi vitu vinavunja mahusiano [emoji848][emoji848]
  9. Orril

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana 10 tufanye kilimo

    Kwa mtazamo wangu vijana wanapatikana kitaani kwako, wewe huenda unajua wanaofaa kufanya nao kazi kwa sifa unazohitaji. Humu sina hakika kupatikana [emoji2369][emoji2369]
  10. Orril

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Pili yule ' Mbabe ' wa ' Twitani ' aliyejizolea ' Umaarufu ' ghafla hajaonekana je, Kulikoni tena?

    Mbona hakuna breaking news [emoji846]
  11. Orril

    JamiiForums Tanzania Sifa na utukufu kwa wanaume woote wanaotufikisha kibo

    Kuna waliofika mwezini[emoji848]
  12. Orril

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kati ya hzi masters course;

    Kwa kiasi fulani unaongea point mkuu.
Back
Top Bottom