Naombeni msaada kati ya hzi masters course;

Naombeni msaada kati ya hzi masters course;

Kwa kiasi fulani unaongea point mkuu.
Ndo maana nchi yetu haendelei; anamaliza form 4 anaomba ushauri cha kusoma mbeleni adi anaetaka kusoma masters nae anaomba ushauri. kusoma masters siyo lazima; unaweza kuchukua ata masters ya kuchekesha kama unaona ipo kwenye plan yako ya mbeleni.
Tupunguze kushusha usomi wetu; badala ya kutulea uchambuzi wa faida na hasara kwa kila kozi.
 
Mkuu unataka nikatae baht hyo ya kwenda uk?

Achana na wahuni wasiojua umuhimu wa elimu hasa Masters, Mimi nilipiga MBA-Finance, kwakweli milango mingi sana ilifunguka.

Kama kweli upo serious na unataka kuwa business Analyst, program yoyote ya MBA itakufaa sana.
 
Back
Top Bottom