Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Mwanzo wa mahusiano alikua analazimisha tuishi pamoja. Nilikataa kwasababu sio jambo sahihi kwangu. Sahivi ndo namuelewa [emoji23]
Ndo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
Ah wapi! Aende for psychotherapy na rehabilitation. Kama huwezi badili Tabia zako mbaya ukisubiri mtu akupende na akubadilishe you are nothing but a manipulator and abuser.Kumpenda mtu ni kuwa na utayari wa kumkubali pamoja na udhaifu wake kisha kumsaidia ktk udhaifu wake ili kumuimarisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi uwe mchafu zaidi yake mpaka alalamike,tena uwe unajikojolea kabisa kitandani,aklalamika unamuambia ukitaka niache kukojoa kitandani acha uchafu
Id yako ya zamani ni ipi?
Anatangaza ili wanaume wachafu kama wewe mbadilike.Watanzania wengi sisi ni wanafiki sana, haya yooote unatutangazia ili iweje sasa!! Kwani ungemwacha kimyakimya kulikua na tabu gani?
Au ndo marketing?
Hahaha simaanishi usafi uzidi hapana. Zile normal ettiques kama kutoa sahani ukila, kutupa uchafu kwenye Dustin, yani vile vitu vya kawaida navyo ni tatizo.
Ha ha ha ha 😁😁😁😁😁,aseee Dada umenifanya nicheke sanaMhh dampo?
Kumbe huwaga zinatoa harufu, cjawah kujua hii makitu sometimes inatoa harufu mbaya.Aisee kama chumba kiko hivi naimagine harufu ya pumb* unaeza zimia
Mane
Saidio mane?
Hatari hii..Miaka ya nyuma nilikuwa kama huyo jamaa yako nadhan kitu kilicho changia sana nikusoma shule za boyz toka o hadi A level kuna maisha nilizoea kuyaishi nikiona nisahihi kumbe nakosea
Chuo nikapanga geto ikawa hivyo hivy nilipata mwanadada mmoja nikadate nae kiukwel alitumia busara kunielewesha na ilifika kipind akija akifanya usafi ananiomba tufanye wote basi na mm nikawa nafanya mpaka nikawa naona ni vitu vya kawaida naweza kusema alinifundisha sana mambo ya kuoga inabid hata ukaoge nae mbembeleze mwambie twende tukaoge hawez kataa tumia uwanamke wako kumconvice naamin atabadilika
Uchafu hauvumuliki....wewe endelea kujimbwambafy kuolewa utasikia redioni. Ukifikia umri wa kuolewa badilisha fikra za kishule, za kisherehesherehe, za club , za kujirusha...unapoukubali umama basi yafaa uukane usichana na maisha sii maigizo uyaonayo kwa watu. Watu wanavumiliana kwa mengi ndio maana wanadumu kwenye mahusiano. Unaweza ukampata msafi kweli kweli shughuli ya jeshi haiwezi vizuri lakini kwani sisi wanaume tunavuilia mangapi kwenu? kama sio kastarehe ka muda na kutafuta watoto unadhanmi hali ingekuwaje kwa mfano???