Recent content by originaltaste

  1. originaltaste

    Sasa mtaamini waafrika si Binadamu kamili. Burning and Looting

    Hawa jamaa bile kabisa nimemsikia waziri Wa mambo ya ndani anacho kiongea huwezi amini kama ni waziri kweli
  2. originaltaste

    Singida kijiji kizima wahamia CHADEMA baada ya Tundu Lissu kuvuliwa ubunge

    Nilikuwa ikungi nakunywa kahawa kweni keep jiwe kimoja hivi wazee niliowakuta hapo wore wanamsapoti tundu lisu
  3. originaltaste

    Nyuma yako (Riwaya ya S. Mollel)

    Kiongozi wasamehe tu ukiona hivyo ujue imewabamba wamekuwa kama mateja wakiikosa wanaumia sana.
  4. originaltaste

    Nyuma yako (Riwaya ya S. Mollel)

    Shukran steve
  5. originaltaste

    Nyuma yako (Riwaya ya S. Mollel)

    Steve saruti
  6. originaltaste

    Nyuma yako (Riwaya ya S. Mollel)

    Steve moleli wewe ni kifaa huna mpinzani kwa inshu za kijasusi
  7. originaltaste

    Kauli ya Professor Assad dhidi ya Bunge na kauli ya Makonda dhidi ya Pierre zinatofauti gani?

    Ukitaka kujuwa bunge ni zaifu limekataa kufanya kazi na CAG limeamua kufanya kazi na konk likwidi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. originaltaste

    Prison break, somo kwa majasusi

    Hutoki 24 mimi niliiamini prison break lakini nlivyoangalia 24 sijawahi kukutana na kitu kama hii Sent using Jamii Forums mobile app
  9. originaltaste

    Prison break, somo kwa majasusi

    Sasa hii ndio yenyewe kwa ujasusi hizo nyingine wanasubili sana labda travela sema ilikakishwa kuendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  10. originaltaste

    Ingekuwa nchi nyingine hili tu la Wabunge lilitosha Kuwafumbua macho Wananchi. Ni jambo la Hatari kubwa sana.

    Hadhi gani ndugu yangu wengi wanaingia kwa porojo tu hebu vuta hisia kazi ngumu tunazofanya viwango Vya mshahara wanayotupitishia bungeni na wengi wao hawana elimu yoyote zaidi ya kupitisha chochote kinachokuja mbele yake inauma sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. originaltaste

    Ingekuwa nchi nyingine hili tu la Wabunge lilitosha Kuwafumbua macho Wananchi. Ni jambo la Hatari kubwa sana.

    Nimeumia sana nilivyo sikia hii inshu tunawekewa makodi ya kila aina kumbe wao wanapiga pesa tu ila tutafika tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. originaltaste

    Dotto Bulendu: Tundu Lissu anahitaji majibu ya maswali yake siyo kebehi

    Je dereva angekufa pale upelelezi usinge fanyika jaribuni kubadilika sisi wengine sio wanasiasa wala hatuna mahaba ya chama chochote kubali lile ni tukio baya sana na linatakiwa upelelezi wa kina sio polojo tunazopewa na wafia matumbo yao Sent using Jamii Forums mobile app
  13. originaltaste

    Mahakama ya juu nchini Kenya imepiga chini maombi ya kuvaa Hijab kwenye shule zisizo za Kiislam

    Ndio maana shule zenu zinafelisha na kuwa za mwisho kwa kushupalia vitu vya kawaida sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom