Kauli ya Professor Assad dhidi ya Bunge na kauli ya Makonda dhidi ya Pierre zinatofauti gani?

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Bunge la Tanzania limechachamaa na limesema haliwezi kufanya kazi na Professor Assad kwa kuliita ni dhaifu.

Professor Assad alitoa ufafanuzi wa kauli yake ,kwamba hiyo kwa lugha ya kihasibu si dhihaka.

Kwa Bunge neno dhaifu kwa kiwahili fasaha ni goigoi,isiyojiweza,

Professor Assad kapata utetezi mkubwa sana mitandaoni.si tatizo kwangu.

Makonda alimponda Pierre ya kua ni wa hovyo kwa mambo anayoyafanya,alitoa baadae Maelezo ya alichomaanisha.

kwamba Pierre ni mfano mbaya kwa makuzi ya watoto, watoto hawana la maana la kujifunza toka kwa Pierre.

Baada ya hii kauli Makonda kabanwa kila kona, why?

Je? hii double standard kwa watanzania inatoka wapi?.si kila mmoja katoa ya moyoni?

Nionavyo Mimi Bunge liko sawa kabisa,huwezi Fanya kazi na MTU anayejua wewe ni dhaifu,haiwezekani,ni matusi kwa bunge kama taasisi,

Alidhalilishe halafu avunge eti ni lugha ya kihasibu,?Professor akubali ya kua kaukosea muhimili huo .

Mwisho suala la Professor Assad vs Bunge,

Makonda vs Pierre yana fanana kabisa,

Huyu ni wakwetu yule ni wakwao usimba na yanga ,

Issue zao zimetawaliwa na chuki,siasa, na roho mbaya za baadhi yetu watanzania kuyakuza .tuacheni unaa jamani,Siku ya mwisho tutachomwa moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mimavi itakuwa imekubana bora ukanye tu.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Umeandika ujinga flani inaonesha wewe ni dhaifu kwakweli. Hii jf inatakiwa itafute namna bora ya kuchuja hoja muflisi zisionekane
 
Umeandika ujinga flani inaonesha wewe ni dhaifu kwakweli. Hii jf inatakiwa itafute namna bora ya kuchuja hoja muflisi zisionekane
ingependeza ungepita kimyakimya, hapa wewe ndio dhaifu,ninacho taka kufahamu ni tofauti ya hizo kauli,mmoja kasema ,dhaifu,mwingine kasema hovyo,na zimeelekezwa kwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom