Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,708
- 2,049
Hahah yule demu mtata, anaitwa Susan B Anthonyndani ya seasson_3,episod ya 13 hapo kuna ujuzi binafsi wa scofield dhidi ya jasusi wa kike kama sijasahau anaitwa Grachan,anaachwa solemba hadi boss anampiga chini kijasusi huku scofield Amiens a mbele zaidi kumsaka SARA-tancred,
au Gretchen Morgan.
.