wanacheza na akili za watu , hata adobe haidanganyiki akadanganya kiasi hiki, mzungu mzaji anatoa malekezo yasiyo sahihi ila muulizaji anajieleza sahihi ili kuweka target sawa , alfu wewe uliye shoot hii movie ya kibongo sikunyingine andaa msemaji sasa jamaa ana mafua na anajifuta futa kamasi na...
If this is what he can do to jus talk and talk things as if he is not old enough to fell asheme for spiting shit like these, Malechela ur name justifies ur traitor even of ur own words . . . . .
hana jipya huyuuuuu, wananchi walisha mwashia moto hadi akawapigia magoti sasa hilo la saizi ni zubaisha tu kuua so, zaidi akihamisha makazi na familia yake kule mtongani akajenge an kukaa huko rujewa labda itaonja kidoogo ushawishi,
green gard km jina lao huongozwa na bangi...
mungu awazidishie nguvu muweze kuongoka maana tumeona wanaonyesha silaha zo live live na hakuna chombo cha dola kinasema lolote ....
directory kama sifa ya nomino yako. in case huko kinondini au ofisi uliko hakuendeki labda traffic jam kwa saaaaana
pliiiiiiiiz waulize google au wikipedia hawa watakupa ufupisho kwa nini chadema kwenye viganja vyako
ile bongo fulevaa inaimbwaje vilee!
mkee wa mtu ni sumuuu yooh yooh yooh
usijaribu chombezaaa yooh yooh yooh
yatakuja yakukutee yooh yooh yooh ambayo mh. hakuyatemegea.....
samahini naenzi tu wimbi very soory
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.