Nisaidieni mnaoifahamu UDOM

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
ninafanya utafiti fulani.tawi la ccm udom liko wp? Au km unamawasiliano plz,maana wanafunzi ninaowauliza hawajui,nipatie namba zao au wanapatikana wp1
 
Kwa taarifa yako hiyo rangi ya kijani haitakiwi kuonekana pale chuoni!! Utapata tabu sana..CCM sucks!
 
aisee pole kijana kwa ninavyo wafahamu hapo udom hawawezi kukuelekeza cuz wapo against na CCM, labda fanya utafiti kwenye ofisi za chadema ndipo utapata support ya ukweli.
 
ninafanya utafiti fulani.tawi la ccm udom liko wp? Au km unamawasiliano plz,maana wanafunzi ninaowauliza hawajui,nipatie namba zao au wanapatikana wp1

UDOM ni mahala pa kusoma siyo sehemu ya kuendeshea shughuli za vyama. Mara baada ya kurudhishwa vyama vingi, mwaka 1992, ofisi za vyama vyuoni zilifungwa!!
 
ninafanya utafiti fulani.tawi la ccm udom liko wp? Au km unamawasiliano plz,maana wanafunzi ninaowauliza hawajui,nipatie namba zao au wanapatikana wp1

Ofisi zipo pale kwenye jengo la zamani la bunge,kwa sasa wanauita ukumbi wa "Pius Msekwa" ukifika hapo waombe wahudumu wa kuelekeze ofisi ya "NAPE" au "ANNA MAKINDA" namba zao ni +255 716 000000,wote hao wanatumia namba moja,kwasababu simu yanayotumia ni ya chama!!hao wanakupokea kwa mikono miwili na kuwaeleza matatizo yako,within zero minute all your problems i.e official registration to MAGAMBA team e.t.c will be quickly solved.
Do it now,
thanx
 
Kwani kuuliza ofisi lazima uwe gamba!
 
ninafanya utafiti fulani.tawi la ccm udom liko wp? Au km unamawasiliano plz,maana wanafunzi ninaowauliza hawajui,nipatie namba zao au wanapatikana wp1

marehem kaddafi ndo anaifaham vizuri udom.

labda uwaone nato au ntc watakuwa na nyaraka zinazohusu udom
 
mara nyingi huwa hawana tawi, isipokuwa wakitaka kukutana na magamba wenzao huwa wanaenda mjini kwenye kumbi mbalimbali kama vile Royal club na kwingineko kuongea masuala yao, lakini hiyo huanza na taarifa za matangazo yanayowekwa sehemu mbalimbali za chuo yakielekeza lini, wapi, wakati na taratibu za usafiri. JARIBU NAMBA HII 0782296744/ 0766303174. HUYU JAMAA ATAKUELEKEZA.
 
Checheme tawi la Udom ofc ziko chimwaga, namba ya cm jaribu 112 mwenyekiti, 991 katibu na 113 mweka hazina.
 
Hivi ni kwa matakwa yako au umetumwa! Maana nyie hamueleweki na magamba yenu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom