Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
Waheshimiwa: - Zitto Kabwe, Cyrill Chami, Harisson Mwakyembe & Mark Mwandosya ugueni pole. Pateni nafuu mje mjenge Taifa.
 
Kwanini nayeye asipelekwe India? Au huko ni kwa mawaziri wetu tu?
Hamna haja ya India, kua na dr maalum wa CHADEMA au kwenda BAGAMOYO. Hospitali yeyote nzuri ya hapahapa kwetu is ok.

Katika maisha hakuna kisichokua na risk kabisa, hivyo basi kutibiwa hapa nchi na ktk hospital nzuri kama Muhimbili ni risk nzuri kwa kiongozi yeyote anayependa nchi yake kuichukua.

Kama tunaamini Zitto ni kiongozi mzuri pia tuna haki ya kuamini kua Muhimbili ni hospitali yetu bora kabisa. Kwenda India ni sehemu ya UFISADI.
 
Mustafa Mkulo waziri wa Fedha ameshatuma salaam za pole na kumwombea quick recovery Waziri kivuli wa Fedha?
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
Umenikumbusha yule tabibu aliyeibuka kuelezea tatizo la Mwakyembe.

Get well soon comrade zito.
 
Dah, ugua pole Mh. Zitto.

Kwa hiyo Muhimbili inatoa huduma nzuri kuzidi Agakhan?
 
Dah, ugua pole Mh. Zitto.

Kwa hiyo Muhimbili inatoa huduma nzuri kuzidi Agakhan?

wee hujui hizi private hosp. wakiona mgonjwa hali yake ni ya kutatanisha wanakimbiza muhimbili nilisikia hawataki kurekodi vifo vingi kwenye hosp. zao.
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
But such conditions are not common to people with sound immunity but to those whose immunity is compromised.
 
poa kamanda wa chadema tunakuombea upone haraka na hizo hila za mafisadi zishindwe
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is

madoc wanajua wanachofanya hawaitaji makocha
 
Pole sana Kamanda. Wanao muuguza hakikisheni anapata muda wa kutosha wa kupumzika, namjua Zitto anasoma sana, kwa kipindi hiki ni vizuri kichwa chake kipumzike. Makanda wengine watazipa gap lake mpaka atakapo pona kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom