Mbugi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,488
- 257
nimemkubali kweli kweli, hana tofauti na mh MLUGO WA jimbo la Songwe - CHUNYA, kwani kwa juzi tu amekabidhi, laptop 48, kwa wakuu wote wa shule na waratibu elimu kata, vitabu 6000, kwa ujumla msaada wote ktk kuinua elimu aliotoa ni zaid ya shs 277/m soma majira ya tarehe 3/oct/2011 ukurasa wa 16 kwa habari zaidi. hawa ndiyo vijana tuanaowahitaji.