Recent content by opudojunior

  1. opudojunior

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hivi Ni Laini Ya Tigo Ndo Inatakiwa Iwe Haina Mb?
  2. opudojunior

    TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

    𝑨𝑯𝑺𝑯𝑨 𝑾𝒆 𝑭𝒂𝒍𝒂𝒂𝒂𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒏𝒊𝒄𝒉𝒆𝒌𝒆 𝒃𝒖𝒓𝒆
  3. opudojunior

    Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

    Liundwe Group La Telegram Ndo Linaweza Kuchukua Wakulima Wengi Zaidi, WhatsApp Inalimit Ya Idadi Ya Members
  4. opudojunior

    Ikiwa unajenga pata material hii kwa bei nafuu tsh 65,000 tu

    Vp Katika Mazingira Ambayo Yana Chumvi Nyingi Au Fungus Inayokula Rangi Na Ukuta, Je Hii Haidhuriki/ Haitaoukutika Au Kubanduka?
  5. opudojunior

    TBC punguzeni uzalendo

    Kwanza ulianzaje kuangalia TBC? Haya ndo matokeo yake sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. opudojunior

    Mwita Waitara unajidhalilisha

    Halafu CCTV camera zilizorekodi tukio zikiwa kwa mh waziri na naibu spika zikaondolewa na hao hao cdm, makubwa!
  7. opudojunior

    Mimi nikichomeka mke wangu anachomoa

    Sa si uchomeke tena, watu wengine buana
  8. opudojunior

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Mkuu naomba kujua training zimefika Mkoa gani na mie nihudhurie, mi nimeuona huu uzi leo na hii forex ndo nimejua kama wiki imepita. Naombeni msaada wa training, vitabu nina soma ninavyo kadhaa, kama kuna training yoyote naomba mnijuze
  9. opudojunior

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kuna member alipost uzi wake humu wenye vitabu vingi sana, jaribu kuutafuta taratibu, mi sijui kuweka link
  10. opudojunior

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Leo nimeanza kusoma baadhi ya vitabu vilivyowekwa hapa na members, nataka nisome vitabu 3, naanza na "17 Proven Currency Trading Strategies by Mario Sigh" pamoja na vingine 2, kufikia mwishoni mwa Januari nitakua nimevimaliza, then wiki 2 za mwezi February nitajifunza kupitia videos za YouTube...
  11. opudojunior

    Mbunge Prof. Jay aangua kilio hadharani, baada ya mauaji yaliyofanywa na polisi jimboni kwake

    Utaalamu wa kuua? Vyombo vya sheria vipo na vina kazi hiyo ya kutoa haki. Kama ushahidi umejitosheleza aende mahakama lakini ukimuua utajuaje kama kweli ni mhalifu.Usiongee hivyo kwakua sio Ndugu yako au mwanao.
  12. opudojunior

    Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

    Ahahah ila ufupi shida mwambie aje kwa @erry_cah22 ni mrefu
  13. opudojunior

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Jamani huyo Prof kumbe ni Dr ni wa wapi? Jina lake nani?
Back
Top Bottom