Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,468
Presenter alikua nani? Kuna Yule Mzee anakera ana USO mzito kama uji WA magimbi kutwa kutumia neno "mzalendo namba moja" jamaa sio tv material at all anafaa kua producer Tu! Boring kabisa!
Kuna thread yangu nilishawahi kusema ndani ya Tanzania kuna watu wana roho za Hitler ila tu hawajaipata nafasi.Aisee kuna vitu na vituko. TBC ni wapumbavu sana, jana habari nzima ni ccm, alafu ndio tv ya taifa. Hii nchi, yaani badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma. Koffi anan na magufuli tena, mtu aliyepewa nobel prize unaweza mfananisha na mbadilisha matokeo ya uchaguzi kwa mwamvuli wa uzalendo. Ujinga mwingine umepitiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo yote ni kutafuta attention iliyopotea ndo maana kwa kudhani watu wengi watavutika na michezo wanachomekea michezo katikati ya Taarifa ya habari ili kuvuta watu waendelee kuangalia. Kwa ujumla hata watangazaji wanajua watanzania hawavutiwi na kinachoendelea TBC lakini wafanyeje wakati wanaendesha vipindi kwa maagizo toka juu?Yani watakosa watazamaji , kwanza taarifa yao ya habari haina mpangilio, mara waanze na ya kitaifa wa mix na michezo then warudi za kimataifa
Wamezidi mno kumsifia rais mpaka inakera,aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Presenter alikua nani? Kuna Yule Mzee anakera ana USO mzito kama uji WA magimbi kutwa kutumia neno "mzalendo namba moja" jamaa sio tv material at all anafaa kua producer Tu! Boring kabisa!
presenter alikua kijana fulani ila ana upaa .mweupe kidogoAnaogopa kibarua kisimkimbie, ila ile TBC bora tuuze share tu ili waje private investorsLyoba na ujanja/usomi wake wote ndio ubunifu umeishia hapo, daah. Kwa maana nyingine kakubali yaishe yaani, kauza mechi ili mshahara uwe unaingia ila wananchi watajua wenyewe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha magic channel ya juzi tu ila ni nzuri kuliko hii TBCNiko zangu na Nat Geo na maisha magic na tb joshua ndo channels naangalia sijui tbc ningekua na uwezo naiblock kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa hadi akiondoka nchi itakua kubaya sanaaaHiyo yote ni kutafuta attention iliyopotea ndo maana kwa kudhani watu wengi watavutika na michezo wanachomekea michezo katikati ya Taarifa ya habari ili kuvuta watu waendelee kuangalia. Kwa ujumla hata watangazaji wanajua watanzania hawavutiwi na kinachoendelea TBC lakini wafanyeje wakati wanaendesha vipindi kwa maagizo toka juu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ilibidi niangalie tu, channel zote za taarifa hatuna ,sasa walivosem hiko kipindi cha koffi wakawa wamenikamata nikakaa kusubiri
una moyo mgumu umeangalia TBC
kipindi kizima bila kusinzia
wewe ni jasiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ile Riwaya ya Mfalme Juha bado ipo. Ingekua vyema kuifananisha na nchi hii kuliko kumfananisha Kofi Annan na jiweleo TBC walitutangazia kuwa ifikapo saa 4 kamili watakua na kipindi cha maisha ya the late koffi anan
Mimi nilitegemea documentary ya maana kama zile nilizozizoea HISTORY CHANNEL au CCCTV kwenye kipindi cha FACES OF AFRICA
matokeo yake,kipindi hiki kimechelewa kuanza kwa kuanza saa 4 na dakika 16 (hawa hawaendani kabisa na mabadiriko ya science na teknolojia, channel zote international kipindi kinaanza sekunde kadhaa kabla)
Nikasema anyway isiwe tabu, kitu kilichonishangaza kama sio kuniuzunisha, mtangazaji amemualika profesa wa chuo cha diplomasia ambaye naye anaongea tu vitu vya ajabu hajibu hoja vizuri
Kilichoniudhunisha zaidi ni kuwa nilitegemea kipindi hiki tungeambiwa maisha ya the late koffi anan tokea akiwa mtoto mpaka alipofikia
Lakini mtangazaji na profesa wake wakaanza kuongelea mwaka 1997 wakijikita kwenye uongozi tu wa bwana huyu
Katika dakika za mwisho kama ilivyokawaida ya TBC mtangazaji akaanza kumfananisha koffi anan na magufuli ,kitu ambacho professa alionekana kukipenda wakaanza kumsifia magufuli na kwenda mbali zaidi wakidai Magufuli hadi wakenya wanamtamani awe rais wao
Hii ndio channel yetu tuliobakiziwa kwenye ving'amuzi , nimesikitika sana mpaka kukumbuka kauli za member wa JF wanaodai wana miaka hawajaangalia TBC
Sent using Jamii Forums mobile app

