Recent content by Optimus_Prime

  1. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania John Bocco aandaliwe kama golikipa wa akiba

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  2. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa Mwaka
  3. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Katika Mikenge wananchi wa kawaida tuliwahi kuingizwa na kununua hisa za Voda

    Voda wao wananunua huduma kutoka kwa hizi kampuni kama ifuatavyo. Minara yote ya simu waliuza kwa kampuni moja inaitwa Helios tower na kuanza kukodisha huduma kwenye ile minara. Lengo la kufanya hivi ilikua ni kupunguza gharama za uendeshaj kwan hawa Helios tower kwenye ule mnara wa mawasiliano...
  4. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Marekani: China inazidi kutumia mabavu na fujo

    Baada ya vita yabpili ya dunia kuliinuka tena kwa vita ndani ya China kati ya wanotaka serikali ya kijamaa wakiongozwa na Mao Tsetung na Zhou Enlai dhidi ya wasiotaka serikali ya kijamaa ambai hawa walikua wanaongozwa na Chiang Kai Shek. Kumbuka kwamba hawa ugomvi wao ulianza hata kabla ya vita...
  5. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata Marekani inaathiriwa sana na vita vya Ukraine, Senator ampinga Biden

    Wanasiasa wamenunuliwa na matajiri wa makampuni ya silaha (Millitary Industrial Complex). Kinachofanyika ni wao kuunga mkono kupitisha bajeti hii mwisho wa siku sehemu kubwa ya hizo hela zitarud kwao coz ndo watakaotengeneza hizo silaha za kupeleka uko Ukraine. Also pia itawapa U.S sababu za...
  6. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

    Food for thought
  7. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Kumbe mpenzi wangu anajiuza

    Usiache kuleta feedback
  8. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

    [emoji1787][emoji1787][emoji2] Asee umenikumbusha mbali sana, kaka yangu aliponunua gari yake ya kwanza (Noah) aisee ilikua ni burudan. Ile Noah ilikua inapendwa kuliko mke[emoji1787][emoji1787]. Ile Noah masaa yote vioo havifunguliwi, haijawah kua na mafuta chini ya robo tank. Kuhusu kuiosha...
  9. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Niliwahi kusoma mahal hichi kilimo, kinachukua zaidi ya mwaka mmoja kuanzia kupanda, kuvuna, kuanika na kuhifadhi ndani ili ile chemical ya Vanilin ambayo hasa ndo inayolipa hili zao thaman iweze kujitengeneza. Hii vanilin inatumika sana kwenye kutengeneza manukato, kwan hata ukiwa umeihifadhi...
  10. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Apo kwenye agricultural drone za kupiga picha unaweza kutumia satellite ambazo zitakua zinapiga picha shamba lako kila siku. Picha hizi zitasaidia sana kuonyesha ni maeneo yapi ya shamba yana struggle na yapi yananenda vzuri. Taarifa za satellite zinaweza kuwa intergrated moja kwa moja kwenye...
  11. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haropoki hana temper ni vitendo tu

    Hili swala nilimind sana, yani jamaa anaita press conference anamuwekea Mama kibesi, anaongea kwa kum command
  12. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Zitto Kabwe, Rais Samia sasa kuendeleza mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Huyu Zitto amejikita zaidi kutueleza faida na matokeo ya mradi lakini hajagusia hata kidogo mkataba na makubaliano ambayo yangekuwepo endapo tungeendelea na huu mradi. Hili kujibu hoja za serikali kuhusu mkataba mbovu angeleta mkataba halisi ambao ungewekwa mezani na kuuchambua vipengele vyake...
  13. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Picha zaidi za lendcruiser V8 mpya 300 series zavuja

    Io show ya mbele inataka kufanana na Cadillac Escalade latest model
  14. Optimus_Prime

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden aidhinisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini Syria

    Trump si ndio aliwafanya kitu mbaya kabisa alipomuua kamanda wao Qassem Suleiman
Back
Top Bottom