Recent content by optimist

  1. optimist

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    hata hivo pesa ni ndogo unayoingia nayo, mfano laki na nusu au kiwango cha juu ni laki tano na 40 sio pesa ya kukuumiza ukilinganisha na betting inavo pura pesa za walala hoi
  2. optimist

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    mchongo wa LBL kwa sasa ingieni mpige pesa tu, hata hivyo biashara ya mitatndaoni haina guarantee ni wewe uunavoamua kuwa na jicho la fursa
  3. optimist

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    ungekuwa umejiunga imagine toka mwezi wa nov 2014 mpaka sasa still operating si ungekuwa umepiga hatua? kuna wakati uoga wetuu maskini wetu pia, hivi unaogopa lbl huku unaweka mzigo kwa kanji kwenye betting still unachoma mtaji vilevile
  4. optimist

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    130mil x 30, maana rupia 1=30tshs
  5. optimist

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    hii ni bei ya MRI ya kisasa kabisa ndizo zilizofungwa taasisi za serikali ni pesa ya India milion 130 ambayo ni sawa na bilion 4+
  6. optimist

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    hiyo aliyopost ndiyo MRI
  7. optimist

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    anayesema MRI milion 500 ajipange kisaikolojia ama kutafuta maarifa zaidi MRI zilizofungwa na serikali ni latest version bei yake ina range kati ya bilion 3. 5-5,
  8. optimist

    JamiiForums Tanzania Mende ni kero kwenye wodi za hospitali ya Benjamin Mkapa

    Mleta mada mjasiriamali na ana kampuni ya fumigation, ukienda vyoo ni vyoo ni visafi, hao mende ameona alete chai ili baadaye Akaombe kazi
  9. optimist

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Uzi umetimia ama utabiri umetimia
  10. optimist

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya watu ukiwanao kimapenzi au Ndoa mambo yako lazima yatayumba na wengine ukiwa nao Mungu anashusha baraka zake

    Kwa wale tunaopanga nyumba za watu,. kuna wakati hata hizo nyumba zinaweza kuwa na influence na maisha na shughuli zako zinginr ni balaa tupu kila ukipanga mipango hutoboi ukiona hivo hama haraka hiyo nyumba
  11. optimist

    JamiiForums Tanzania SoC01 Laana huathiri mafanikio: Ukifanya mambo haya, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako

    hakuna mizimu inayotoa laana kwa ukoo wake, mizimu yote inapenda watu wake wafanikiwe, jitahidini kutafuta connection na mizimu yenu
  12. optimist

    JamiiForums Tanzania Utapeli Pari match bet

    kwa case ya account 2, kuna. jamaa juzi kati amekula milioni 38, 22bet wakamzingua kwa kigezo hicho waka mzima pesa yake nafikiri tuachane. na kampuni za Kiswahili hizi zimejaa uhuni, yaani milion 3 wanakuzima wajinga sana hao
  13. optimist

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

    watu wakiambiwa warudi kwa mizimu. ya mababu zao wanapuuza, endeleeni kuabudu miungu. ya watu wengine, kabla ya hizi dini Babu na bibi zetu waliishi na ibada zao walikuwa wakiomba na kujibiwa maombi yao hasa ya kijamii kama vile mvua na mambo mengine
  14. optimist

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ni nani hasa?

    ole wake, yaani ole 😂😂😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom