karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,799
- 3,221
Habari ndugu zangu poleni kwa kichapo cha timu yetu ya Taifa
Moja kwa moja niende kwenye mada
Binafsi naamini kwamba kwenye maisha ya mahusiano hasa ya kimapenzi kuna baadhi ya watu ukiwa nao tu na mafanikio yanakuja na pia wapo wale wengine ambao ukiwa nao ndio laana na mikosi inajitokeza na kuanza kukuandama hadi utajuta nasema utajuta
Naomba nitoe shuhuda ambazo baadhi zimenikuta mimi na baadhi zimekuta watu wangu wa karibu
*Kuna rafiki yangu mmoja nilisoma naye shule ya msingi yeye alinizidi kama madarasa mawili tulikuwa tunakaa wote mtaa mmoja baada ya kusoma akapata kazi ambayo alikuwa analipwa laki 4 kwa mwezi ila kwa madili aliyokuwa anafanya hapo kazini alikuwa anaingiza pesa ndogo Elfu 50 kwa siku baada tu ya kuoa mambo yakaanza kwenda mrama kazi akafukuzwa nyumba akauza gari akauza karudi kijijini na mke wake
*Niliwahi kuwa na binti katika mahusiano lakini cha ajabu sikuwa napata hela Biashara zikayumba madeni yakaniandama naagiza mzigo nikatapeliwa ila tukaachana kwa sababu zake mwenyewe nikavuta chombo nyingine ile kama tuna wiki hivi nikapata dili kama leo elfu 70 sijakaa sawa dili la laki 2 ila tuliachana baada ya yy kuwa mtu wa mizinga sana nikavuta mwingine bado baraka kama zote madili yanamiminika tu kuingiza elfu 10-15 kwa siku ni kawaida tu
*My sister aliwahi kumuhonga mwanaume pesa yake ya ada ili wafanye biashara Mungu akajalia wakafanikiwa mambo yakawanyookea wakanunua tv friji viwanja mabati cement nondo ili waanze kujenga Mungu hakupanga wale mafanikio pamoja R.I.P dada
Hiyo ni baadhi ya mifano michache ila naamini kila mtu kuna kisa kama hicho alishawahi kupitia au kujionea tupe uzoefu wako ilikuwaje
KWA KUSHAURI ILA SIO LAZIMA UNISIKILIZE
1)Kabla ya kumuoa pima kwanza upepo mambo yanakunyooke au ndio mikosi inazidi kukuandama ukiona mikosi piga chini
2) Usiseme sitooa/kuolewa hadi nifanikiwe maana huenda Mungu hajapanga ufanikiwe ukiwa peke yako.
3)Usikurupuke kuingia kwenye mahusiano