Recent content by optico

  1. optico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    Mrejesho: Tulishamaliza chuo na tuna mtoto wa mwaka mmoja na huyu binti
  2. optico

    JamiiForums Tanzania Ni kweli vibali vya uhamisho vimetoka kimyakimya?

    Nimesikia tetesi kuwa vibali vimetoka lakini mkeka haujawekwa hadharani, sasa tamisemi hawaoni hii itatengeneza mwanya wa mabosi wa Halmashauri kuficha barua na kuwanyima watu haki zao? Ingependeza kama mkeka ungewekwa hadharani ili wahusika wakapambane na maboss waachie.
  3. optico

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    kweli wabongo vichwa maji, sasa hio damu itoke wapi kama ndugu hawatoi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. optico

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    Hivi we jamaa unaongea ujinga gani ? unajaza vimaneno vya hospitali tu ila hujui kitu, sasa intern na anaesthesia vinahusiana vipi, kama hujui kaa kimya au changia kama wengine sio kujifanya daktari wakati huelewei lolote Sent using Jamii Forums mobile app
  5. optico

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari Idhaa ya Kiswahili ya DW akutwa hajitambui ndani ya basi

    Wabongo wagumu sana kuelewa...kila siku wanasikia haya mambo na bado wanakulakula tu ovyo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. optico

    JamiiForums Tanzania Aliyesema Chuo bata Mungu anamuona

    Kumbe Iringa napo kuna chuo [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. optico

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimeanza na 10k nimepigwa nimebakiza 3000/=
  8. optico

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii wapi ?
  9. optico

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MSAADA

    yani hizo C ndo unaita kufaulu vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
  10. optico

    JamiiForums Tanzania Fitness and wellness

    mimi mazingira ninayoishi siwezi kufanya mazoezi nje hivyo nakimbia step za hapo hapo (kama kwenye treadmill) kwa dk15 then push ups na squats, Je hii itanisaidia kua fit (pumzi) ? maana ndo nimeanza kama wiki
  11. optico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    Nimekupata vema
  12. optico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    Kijijini watu wanaoa na miaka 18
  13. optico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    Shukran
  14. optico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    umri namba tu, kiumbo ni kakubwa kabisa kamejaliwa umbo.
  15. optico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

    Mwaka huu narudi mtaani kama mwananchi, sitaki kuendelea na michezo ya kihuni ya kurukaruka huko nisije kuharibikiwa ,ndo maana nataka niwe na mtu anaeeleweka.
Back
Top Bottom