Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

Soma tuu kijana...
Maliza kwanza final ndo uanze mambo hayo..usijione umevuka

Mtafte ukiwa ushamaliza na umweleze malengo yako lasivyo ukiharakia saivi atakuona wale wale wanaotaka mzigo tuu
 
Duu kweli Siku hizi raha MTU chuo ana miaka 19 enzi zetu ukiwahi sana ni 22 ndo mwaka wa kwanza
 
Km ndio kwanza yupo 19 just by time a little bit more cuz ndio kwanza mwenzio kaingia ukubwani ana mwaka mmoja tu, subira yavuta heri, nakushauri usikate tamaa endelea kumuweka karibu muda wote.
 
sasa kama huna pesa bongo hii unahangaika na wanawake wa kazi gani? huoni mwenzio najijua sina hela za kugawa hivo nimejikalia kimya tu..
 
sasa kama huna pesa bongo hii unahangaika na wanawake wa kazi gani? huoni mwenzio najijua sina hela za kugawa hivo nimejikalia kimya tu..
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hongera kwa kuleta tatizo lako jukwaa hili.
Nimepitia comments zote zilizotolewa,
Kuna vitu vitano nimegundua,
Kwanza nianze na were, then nikimalizana na ww ndo nigeukie comments za wakuu wengine.
1)Futa akilini kwamba inawezekana akawa hana MTU
2)Umesema ana element za ulokole, hivyo kama in kweli pengine bado yupo anakusoma nyendo zako. but Iam not sure.
3) Were no mwaka wa tatu, yeye ni first year, sins Shaka ulimshobokea siku za mwanzoni akiwa bado mgen mgen chuoni, Through experience, kwasasa amekutana na washkaj wanaosoma wore bcoz ndo mda mwing wapo wote kuliko wewe, anakutana nao kwenye seminars, lectures, etc.
4) Umesema kwa wiki anakutext Mara moja, na we ndo unamtext kila Mara, Tatizo hapa amekuona needy sana, she has taken you for grant, neediness always kills attraction.
5) Akikubali penzi lako, niamini mm baada ya mwaka mmoja utarudi hapa JF kuomba ushauri juu ya mpenzi wako. It will be too late.
6) Umesema kwamba umepiga sana uhuni mwanzoni, now umeamua kuachana nao na kumtafuta mtu wa malengo, HIVO itakuwa vizuri zaidi ukamuacha kidogo huyo binti Nate apige uhuni kidogo kama we, then akitosheka ndo mje mwanze wore mapenzi, LA sivo atakutesa sana.

NIONGEE KIDOGO KUHUSU COMMENTS ZA WADAU WENGINE:
1) No unafiki mkubwa kukwambia eti soma kwanza, tafuta hela kwanza ndo ufikirie kuwa na mpenzi. Ukifuata huo ushauri, hao hao wanaosema usitafute saivi. Kesho ndo watarudi na povu Kali wakisema umeanza mapenzi ukubwana, Mara oh kuna stage uliruka.... Nk. So fuata moyo wako na malengo yako after all hizi no shauri tu sio mpaka uzifuate.
2) Love is not money, umeshauriwa kwamba utafute hela kwanza ndo uje uanze tafuta mpenzi, Binafsi siamini ktk hili kwasababu Nina friends ninaowajua they have a lot of money but bado wanastruggle na mapenzi, hadi wanaamua kwenda kununulia makahaba, bcoz hawakujifunza the art of seduction mapema, wakabaki ktk kuamini kuwa pesa ndo kila kitu.

Ubarikiwe.
Umeongea bonge la point big up bro
 
mnaosema umri mdogo acheni kudanganya. Umri sahihi kabisa huo, maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.
Mkuu usikate tamaa kama kweli una nia ya dhati,usisubiri shiboke we muweke karibu kisha tema madini/vocal yaani mwambie ukweli nini unachohitaji bila woga..... ila kabla ya hapo kweli uwe unajua sifa za wife material wa kuendana na wewe ili usije juta baadaye
 
Mrejesho: Tulishamaliza chuo na tuna mtoto wa mwaka mmoja na huyu binti
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Back
Top Bottom