Nina malengo nae ya baadae ila tatizo 'hashoboki' kimapenzi

hiko chuo cha ushirika kinakudanganya!!!Mwaka watatu hunting for lady?kwel we nyege msukumo!Acha tamaa dogo et "namalengo nae baadae!!!maleng gan zaid tu unataka kumwaribia mtt wawatu?shkamooo nyegee
[emoji32]
 
Kama hela huna ni ngumu kumpata.
Soma ukimaliza tafuta hela.my brother pesa ni sabuni ya roho.unaweza ukaja kupendwa ambapo ulikuwa haupendwi.mkono mtupu haulambwi.
 
Nipo chuo flani hapa Moshi mwaka wa tatu, kuna dada mmoja mwaka wa kwanza nimetokea kumpenda sana,ni mlokole, nilikitana kwenye matukio ya hapa chuo tukaongea kidogo she was very coperative akanipa number yake tukawa tunawasiliana, nikawa namtafuta na ye mara mojamoja sana ananitafuta tunachat, ila kuna mda najikuta nimemtafuta mimi wiki nzima kila siku ye kanitafuta mara moja tu.

Shida inakuja nikiingiza story za mapenzi tu anaruka maili mia yani anapotezea kabisa na jinsi nilivyomsoma inaonekana hana mtu kabisa, kiumri ana 19 mi nina 23.Ingawa hata story nyingine sio mtu wa story sana yani utajikuta wewe tu ndo unaongea na kuuliza maswali, hasimulii kitu. Mwanzo nilidhani itakua rahisi coz namzidi profile(mi finalist [emoji38]) ila sasa naona anataka kua mgumu hashoboki.
Nashindwa kumkurupukia sababu huyu sio wale wa kupitia tu nna malengo nae mazuri kabisa huko badae (uchumba) maana mimi namaliza chuo mwaka huu, lakini anavyorespond nahisi siku nikimtokea ntampoteza kabisa.

NB: sitaki ushauri wa kumpa hela mi hapa sina hata boom [emoji23]
Povu ruksa, majungu ruksa life is short, ila na ushauri mtoe sasa, mbinu za kistaarabu tu , za kihuni hapana sitaki kutumia kwa huyu.
Acha ujinga soma,wewe unawaza mapenzi tu.
 
Mh bac me acha nipite2 maana nilitaka nikushauri ujaribu kumtigo pesa
 
Maliza chuo kwanza, uje usome namba maana # we bado mtoto
 
hiko chuo cha ushirika kinakudanganya!!!Mwaka watatu hunting for lady?kwel we nyege msukumo!Acha tamaa dogo et "namalengo nae baadae!!!maleng gan zaid tu unataka kumwaribia mtt wawatu?shkamooo nyegee
Duh, mkuu umeongea kama vile unachuki nae huyu dogo
 
Naseme unaweza kuwa sawa na joyce kiria ukanisambaza mitando yote ati unanitunza
Bby mimi nina heshima. Siwezi kukusambazia vitu vibaya hivyo hata kama ni kweli. Nitaonekana muongo kwanza.
 
Hongera kwa kuleta tatizo lako jukwaa hili.
Nimepitia comments zote zilizotolewa,
Kuna vitu vitano nimegundua,
Kwanza nianze na were, then nikimalizana na ww ndo nigeukie comments za wakuu wengine.
1)Futa akilini kwamba inawezekana akawa hana MTU
2)Umesema ana element za ulokole, hivyo kama in kweli pengine bado yupo anakusoma nyendo zako. but Iam not sure.
3) Were no mwaka wa tatu, yeye ni first year, sins Shaka ulimshobokea siku za mwanzoni akiwa bado mgen mgen chuoni, Through experience, kwasasa amekutana na washkaj wanaosoma wore bcoz ndo mda mwing wapo wote kuliko wewe, anakutana nao kwenye seminars, lectures, etc.
4) Umesema kwa wiki anakutext Mara moja, na we ndo unamtext kila Mara, Tatizo hapa amekuona needy sana, she has taken you for grant, neediness always kills attraction.
5) Akikubali penzi lako, niamini mm baada ya mwaka mmoja utarudi hapa JF kuomba ushauri juu ya mpenzi wako. It will be too late.
6) Umesema kwamba umepiga sana uhuni mwanzoni, now umeamua kuachana nao na kumtafuta mtu wa malengo, HIVO itakuwa vizuri zaidi ukamuacha kidogo huyo binti Nate apige uhuni kidogo kama we, then akitosheka ndo mje mwanze wore mapenzi, LA sivo atakutesa sana.

NIONGEE KIDOGO KUHUSU COMMENTS ZA WADAU WENGINE:
1) No unafiki mkubwa kukwambia eti soma kwanza, tafuta hela kwanza ndo ufikirie kuwa na mpenzi. Ukifuata huo ushauri, hao hao wanaosema usitafute saivi. Kesho ndo watarudi na povu Kali wakisema umeanza mapenzi ukubwana, Mara oh kuna stage uliruka.... Nk. So fuata moyo wako na malengo yako after all hizi no shauri tu sio mpaka uzifuate.
2) Love is not money, umeshauriwa kwamba utafute hela kwanza ndo uje uanze tafuta mpenzi, Binafsi siamini ktk hili kwasababu Nina friends ninaowajua they have a lot of money but bado wanastruggle na mapenzi, hadi wanaamua kwenda kununulia makahaba, bcoz hawakujifunza the art of seduction mapema, wakabaki ktk kuamini kuwa pesa ndo kila kitu.

Ubarikiwe.
 
Nimekupata vema
 
Yani me nina 26+ na hata mshipa wa ndoa hausimami aloo sema ukirudi mtaani ukianza kuita maji mma utaacha huo ujinga
Hahaha...wengine wakijaga mtaani hata jogoo anawika kwa mbinde....chezea vyuma
 
Unashobokea tu mapenzi, huo umri bado sana kuanza kusema una malengo na mtu.....kuoa umri huo ni sawa na kuondoka night club saa tatu.
Kasema anataka uchumba sio ndoa au na uchumba haruhusiwi umri bado ?
 
Back
Top Bottom