Mwaka huu narudi mtaani kama mwananchi, sitaki kuendelea na michezo ya kihuni ya kurukaruka huko nisije kuharibikiwa ,ndo maana nataka niwe na mtu anaeeleweka.Nakushauri uachane na mahusiano kwa sasa bado hujakua, vitu kama hivi ilitakiwa ujue suluhisho mwenyewe !
Hulali?Hata hela huna unawaza mapenzi. Soma kwanza mdogo wangu sisi tupo na utatuenjoy zaidi ukiwa na pesa
Nikilala mpaka saa hizi nitatoa wapi grisi my dear?Hulali?
TutaletaNikilala mpaka saa hizi nitatoa wapi grisi my dear?
Ukileta na mimi nikileta grisi inakua nyingi nyumbani.Tutaleta
ShukranBinadamu bana..!! Na ukimaliza chuo bila kuwa na mchumba watakuambia wanawake wote hukuwaona chuo.
Soma lakini ni kawaida sana kuwa na mahusiano ukiwa chuo. We mwambie tu, anaweza akasumbua lakini onesha msimamo.
Ukiendelea kukaa kimya unaweza kuzidiwa kete, siku unakuja kufunguka anakwambia keshapata mtu tayari.