Recent content by opot opot

  1. O

    JamiiForums Tanzania Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

    Kama tuko kwenye surveillance yake laana ya asili inatokea WAP?alinunya kila kabila kwa damu yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. O

    JamiiForums Tanzania Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

    Hmmm. We umefanya mambo mengi ati...Mara mochwari..coz hizi za upadrii.duuh Na kilingeni.thou upande wangu I ana nimemuamini mtoa mada. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. O

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

    Haha duh.shule yangu hii. Pwahahaha ata Mimi niliwahi kula ada.10000 nilimalizia asubui siku ya kwanza ya mtihani wa form 4.mkuu itakua ulimaliza 2005 bila shaka Sent using Jamii Forums mobile app
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ifahamu historia ya Wasabato

    Kwahio umeona wasabato tu??mbona u Uzi wako umegusia kua Anglican ilianzishwa na Huyo mfalme wa uingereza baada ya wakatoliki kumkatalia kumuacha mkewe ambae hajampa mtoto wa kiume???kumbe madhebu ndo yalianza hiv?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. O

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Zumaridi

    Hahaha duh.wanaimba bila beat ujue.ni makofi tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. O

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Zumaridi

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. O

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Nilikutana nao kisumu usiku wa SAA nane nikiwa naelekea kazini.nipata konekshni na Jamaa Fulani alikua engineer wa kplc yani Tanesco ya kenya.sa tulikua tunapelekaga UMEME vijijini kama REA(rural electrification authority).sa inabidi kuanza safari ya kutoka kisumu kwenda vijijini usiku wa SAA...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Zumaridi

    Yule mama aliefungiwa Huduma mfalme Zumaridi kwa mbwembwe nyingi za vyombo vya ulinzi mbona mmemruhusu sasa kufanya Huduma pasipo manjonjo kama mlivyofanya pindi ile? Alikuwa kakosea nini? Tofauti yake na hawa mitume na manabii wanaouza maji na chumvi kama yeye iko wapi??mbona hamuwakamati nao...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Hadithi ya kale isiyonamaana???tutungie yako sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Huyo namba moja uliemtaja alikula demu wangu bana.dah Sent using Jamii Forums mobile app
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kutembea ukiwa usingizini

    Kaka yangu nae kama wewe.anaamka anakimbilia mlango huku anapiga kelele.mshana wanasaidiwaje kwenye hali ya namna hii Sent using Jamii Forums mobile app
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Pole ndg Sent using Jamii Forums mobile app
  13. O

    JamiiForums Tanzania Jamani eti ni kweli uchawi upooo

    Nyaru-sare, Umesema ukweli ndg.nimekuelewa saana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. O

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuingiza nyeti mtoto mdomoni kuhukumiwa

    Nshafanya hii kitu kenya.nilifungua mguu mshale ukasomw Sent using Jamii Forums mobile app
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa mwezi January 10 2020 usiku

    Sikua najua but nimeona wingu la ajabu sana leo limefunika mwezi mwanza.duh Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom